Acha roho mbayaUkija na gia ya kuoa......kama nilikua nina mpango wa kukupa hambalulu.......sikupi tena......
Angetuwekea hata picha basiWeka data mkuu
Kama wote mngekuwa na mawazo kama wewe tusingekua tunadanganya kabisaMtu akitaka nibadili mawazo aniahidi ndoa aiseeeh hutanisikia.
Mimi naamini ndoa hutokea automatically, mnaweza msiwe na mawazo ya kuoana na mkaja kuoana ni Mungu tu.
Nataka nkuoeNasubiri.......nataka kujua......
Mtu akitaka nibadili mawazo aniahidi ndoa aiseeeh hutanisikia.
Mimi naamini ndoa hutokea automatically, mnaweza msiwe na mawazo ya kuoana na mkaja kuoana ni Mungu tu.
Ohooo..!!! Point tupu umeandika ,miana wewe nikuulize boss akikuahidi mshahara mnono hutosaini mkataba wa kufanya kazi nae?