Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa siasa wa Vyama vya siasa Tanzania.Chama tawala CCM kina kauli mbiu kuwa in chama cha wanyonge Na masikini Kwa mujibu wa kauli ya katibu wa uenezi Na utikadi Bw.Polepole.Nimeshangazwa Na kauli hiyo kwani inaonekana Umaskini Na unyonge ni kama sifa Kwa mtanzania mpaka viongozi wanadiriki kusema CCM ni chama cha wanyonge Na maskini.Hakuna mtanzania aliyeutaka umaskini au unyonge.Vitu hivyo vimeletwa Na hao viongozi wa CCM lakini Leo Mh.Polepole anadiriki kusema ccm in ya wanyonge Na maskini naomba ajiulize hilo kundi limetoka wapi?