Hivi kwa nini mtu mzima akiua paka maisha yake yanakuwa mabovu sana

Dawa pekee ya kufukuza paka ambao hufugi ni kufanya usafi kusiwe na panya au kuacha kumwaga chakula ovyo, inabidi uondoe sababu zote zinazowafanya waje hapo kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom