Hivi kiongozi wa upinzani bungeni analipwa kiasi gani?

Yaani tuamini kirahisi maneno ya Makene, bila hata nyaraka!!!!
hivi kuna nyaraka za mtu kutokulipwa?Yeye ameamua kujitolea kwa chama,kama angesema anapewa kiasi fulani basi mngesema atoe nyaraka.Jifikirisheni kidogo kabla ya kuongea
 
Nenden pale bungen mkahoji kwa katibu wa bunge maana wao ndo hutoa mihela hiyo,na km wanampa nyingi basi ni haki ya magufuli.
 
Una chuki mbaya? ungesema kwanza mshahara wa spika, naibu spika, mwenyekiti wa bunge, ndio uulize wa kiongozi wa kambi, fanya juhudi zako binafsi kujipatia kipato chako cha mwenzako hakita kuondolea shida zako.
 
Nenden pale bungen mkahoji kwa katibu wa bunge maana wao ndo hutoa mihela hiyo,na km wanampa nyingi basi ni haki ya magufuli.
Nakumbuka wakati Zitto anawachachafya kuhusu posho, KUB naye akajitoa mhanga na kurudisha gari ya serikali ambayo KUB hupewa pamoja na dereva na mafuta. Baada ya muda akaenda kuichukua kimya kimya!! Kwa kifupi anapewa gari ya serikali pamoja na dereva na mafuta na level yake ni sawa na Naibu Waziri wa Serikali.
 
Wadau naomba kuuliza!!
Hivi kiongozi wa upinzani bungeni analipwa Tsh ngapi ukijumlisha na posho zooote anazopata......

lakini pia huyu kiongozi ni mwenyekiti wa chama cha chadema, je na huku kwenye chama analipwa Tsh ngapi ikiwa ni pamoja na posho zote.....

nauliza kutaka kujua tu wadau sina maslahi na chama chochote zaidi ya kutaka kufahamu.

Nawasilisha.
Madem bana
 
Nakumbuka wakati Zitto anawachachafya kuhusu posho, KUB naye akajitoa mhanga na kurudisha gari ya serikali ambayo KUB hupewa pamoja na dereva na mafuta. Baada ya muda akaenda kuichukua kimya kimya!! Kwa kifupi anapewa gari ya serikali pamoja na dereva na mafuta na level yake ni sawa na Naibu Waziri wa Serikali.
Sio naibu waziri yule ni sawa na waziri mkuu.
Hivo hajipangiii kitu ispokuwa anapewa na serkali hivo hana ubaya wowote.
 
Analipwa.. 2000/=..posho ..kutoa tamko1000/=..uwenyekiti chadema analipwa 7000/=...zigeuze USD..then zichukuwe kanunue Jojo
 
Sio naibu waziri yule ni sawa na waziri mkuu.
Hivo hajipangiii kitu ispokuwa anapewa na serkali hivo hana ubaya wowote.
Acha kupotosha wewe. Hana hadhi ya kuwa sawa na Waziri Mkuu. Level yake ni Naibu Waziri kwenye serikali
 
Muwe mnajijengea utamaduni wa kusoma nyuzi za nyuma,mbowe kama mwenyekiti wa chama halipwi chochote,anajitolea kwenye chama!Hili limethibitishwa na Tumaini Makene.
Stahiki nyingine ni za kibunge anazolipwa,na hiyo ya kuwa KUB!
Ndio akae miaka 20 huu sasa ni usultani na kuna manufaa flani anayapata ndiomaana kawa luba kwenye uenyekiti,hakuna cha kufanya kazi kwa kujitolea kwa miaka 20 huyu Makene si mpiga filimbi tu,ni mtu wa kutumwa tu na kuambiwa sema hivi.
 
jamani huu si uungwana!! nimeuliza ili nifahamishe sasa naona watu kama wamepaliwa vile povu linawatoka sana, kwani huyu Mbowe si ni kiongozi wa umma?? kwa sisi kujua anavyolipwa kuna ubaya gani??

Bado swali langu liko pale pale, nataka kujua mshahara na marupurupu ya Mbowe ndani ya chama lkn vilevile ya kule bungeni kama kiongozi wa upinzani bungeni.....

leteni majibu sio mnaleta ushabiki wa kitoto usio na tija hapa
 
Mbona mnakuwa vilaza hivyo,ndani ya chama halipwi,anajitolea!
 
Muwe mnajijengea utamaduni wa kusoma nyuzi za nyuma,mbowe kama mwenyekiti wa chama halipwi chochote,anajitolea kwenye chama!Hili limethibitishwa na Tumaini Makene.
Stahiki nyingine ni za kibunge anazolipwa,na hiyo ya kuwa KUB!
Tehe tehe mchaga asilipwe! Anazijua hela jamas yule.
 
Back
Top Bottom