Umewaza vzuri ILA unataka uonyeshwe nini kutoka kwa JESHI au makomandoo wakati wa Sherehe ? Kuna sababu za JESHI kuweza kufanya hivyo unavyo taka au kufikiri mfano hata Korea anavyofanya kuonyesha VIFAA Na dhana ni kwa sababu maalum hiyo ni moja ya mbinu za kijeshi dhidi ya adui inaitwa saichological welfare. Tanzania iliwahi kufanya malamoja nadhani pale Taifa zilipita dhana kubwa za kisasa ambazo hatujawahi ziona Na tukaonyeshwa kwa mala ya kwanza Commando wakishuka toka angani kwa miavuli Na wote wakatua eneo SAHIHI .Karibia kila sherehe za kitaifa maonesho ya JWTZ yamekuwa kama maigizo vile.Ukiwaangalia ni sawa na kutizama mazinga ombwe.
Wao wapo busy kuonesha raia namna wanavyoweza kuvunja matofali juu ya vifua pamoja na kukunjia nondo kwenye vipara vyao? Je hizi tambo za JWTZ zinafaida gani kwa wananchi?
Maonesho yao yote yanalenga kuonesha matumizi ya nguvu ilihali kwa dunia ilipofika majeshi yamefikia hatua ya kutegemea uwezo wa teknolojia zaidi kuliko nguvu.Hata vita vya siku hizi havihitaji sana wanajeshi kwenda kwenye battle field ambako kwa kiasi kikubwa watategemea nguvu zao.
Ikiwa majeshi ya nchi zingine yanaegemea kwenye teknolojia zaidi, je JWTZ wamepiga hatu zipi kwenye teknolojia? Kwa umri wa JWTZ nilitegemea wawe na strong military industrial complex kwa ajili ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na hata vifaa kwa ajili ya matumizi ya raia.
Tungependa siku JWTZ wakipata nafasi ya kuonesha raia uwezo wao wa kijeshi, watuoneshe magari, silaha[siyo magobore], ndege za kivita, mashine mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya uraiani, ambavyo vyote hivyo wamevitengeneza wenyewe.......Tungependa kuona wakituonesha maendeleo ya teknolojia yao wenyewe.
Hatuwezi kuepuka ukoloni mamboleo kama majeshi yetu yanayotulinda yanategemea uwezo wa teknolojia pamoja na silaha kutoka kwa majeshi ya kizungu.Kamwe wazungu hawatatuuzia teknolojia ya kijeshi inayozidi au kulingana na ya kwao.Hivyo kama tunataka kuepuka kuwa nyuma ya wazungu ni lazima tujikomboe wenyewe kutoka kwenye utegemezi wa wazungu hasa kwenye maswala ya kijeshi.
mkuu sidhani kama umefikiria sana.
majeshi mengi tu huwa yanaonyesha ukakamavu kama wanavyofanya hawa wa kwetu.
Nenda china,North korea, na kwingine kwingi.
Juzi makomando wa Russia(SPETSNAZ) walienda kutembelea Ufilipino. Katika maonyesho yao ya ukakamavu walienda mbali zaidi ya wetu maana wao walikuwa hadi wanapasulia vyupa kichwani.
kawaida sana haya maonyesho hayana uhusiano wowote na Technology.
Karibia kila sherehe za kitaifa maonesho ya JWTZ yamekuwa kama maigizo vile.Ukiwaangalia ni sawa na kutizama mazinga ombwe.
Wao wapo busy kuonesha raia namna wanavyoweza kuvunja matofali juu ya vifua pamoja na kukunjia nondo kwenye vipara vyao? Je hizi tambo za JWTZ zinafaida gani kwa wananchi?
Maonesho yao yote yanalenga kuonesha matumizi ya nguvu ilihali kwa dunia ilipofika majeshi yamefikia hatua ya kutegemea uwezo wa teknolojia zaidi kuliko nguvu.Hata vita vya siku hizi havihitaji sana wanajeshi kwenda kwenye battle field ambako kwa kiasi kikubwa watategemea nguvu zao.
Ikiwa majeshi ya nchi zingine yanaegemea kwenye teknolojia zaidi, je JWTZ wamepiga hatu zipi kwenye teknolojia? Kwa umri wa JWTZ nilitegemea wawe na strong military industrial complex kwa ajili ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na hata vifaa kwa ajili ya matumizi ya raia.
Tungependa siku JWTZ wakipata nafasi ya kuonesha raia uwezo wao wa kijeshi, watuoneshe magari, silaha[siyo magobore], ndege za kivita, mashine mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya uraiani, ambavyo vyote hivyo wamevitengeneza wenyewe.......Tungependa kuona wakituonesha maendeleo ya teknolojia yao wenyewe.
Hatuwezi kuepuka ukoloni mamboleo kama majeshi yetu yanayotulinda yanategemea uwezo wa teknolojia pamoja na silaha kutoka kwa majeshi ya kizungu.Kamwe wazungu hawatatuuzia teknolojia ya kijeshi inayozidi au kulingana na ya kwao.Hivyo kama tunataka kuepuka kuwa nyuma ya wazungu ni lazima tujikomboe wenyewe kutoka kwenye utegemezi wa wazungu hasa kwenye maswala ya kijeshi.
Wakishakuonyesha?Karibia kila sherehe za kitaifa maonesho ya JWTZ yamekuwa kama maigizo vile.Ukiwaangalia ni sawa na kutizama mazinga ombwe.