Hivi ili uwe RC unatakiwa kuwa na Elimu kiwango gani?

Wadhifa wa kuteuliwa
Hauhitaji Elimu yako uliyonayo
Ni Uwajibikaji wako, kujituma na utendaji wako wa kazi kiufasaha.
Haitaji kupeleka CV yako..
Vitu vingine wanavyoongea watu ni
Brah brah brah!! Tu za Mjini
Mkuu popote ulipo kunywa soda mkuu wa mkoa atakuja kulipa hapo
 
Kuwa mkuu wa mkoa hakuitaji elimu yoyote ili uchaguliwe ni nafasi ya kuteuliwa tu ambayo ni matakwa ya rais aliyepo madarakani lakin nashangaa watu wamejaa povu sana kuhusu Rc makonda kwan mm sioni ubaya wowote na hata kama hana elimu kabisa lakin ana haki ya kuwa Rc bila shaka yoyote na hawa wanaodai et aligushi vyeti nahisi wana lao jambo kwan waliosoma ni maproffesor ambayo wengi wao wapo mavyuoni wanafundisha so kitu cha Rc hakina level yoyote kwan uongozi hausomewi ni kipaji kutoka mbinguni tu ......wadau ni bora tufanye kazi nyingne lakin hiki kitendo cha kufatilia CV za viongozi its wastage of time kwan hakuna faida yoyote na kama wanataka CV za watu ni bora watoe kwanza zao ndo waulizie za wengne kwan ni ajabu sana kuomba CV ya MTU mwingine wakati kwenu ukoo mzima hakuna haya mmoja aliyeweka CV hewani.......
Makonda piga kazi baba najua kuna magumu mengi utapitia but sisi tunakuombea ufanikiwe na uongozi faifa hili kwani
Wewe ni wathamani sana kuliko shomoro walio wengi ..luka 12:7
True
 
Na wewe una uhakika Makonda siyo fraud? Thibitisha.
Yule mkuu wa kanisa alitueleza jana kupitia audio yake kwamba ana Cheti cha jamaa chenye division zero, mkuu Umewahi kuona Cheti cha namna hiyo nchi hii
 
Unataka kusema harakat za mwl.nyerere kupambana Na ujinga hazjakupa effect yoyote?
 
Yule mkuu wa kanisa alitueleza jana kupitia audio yake kwamba ana Cheti cha jamaa chenye division zero, mkuu Umewahi kuona Cheti cha namna hiyo nchi hii
Sasa na wewe usiwe kubwa jinga. Kwani awali hukushangazwa na wauza madawa kukamatwa kupitia TV?
 
Wakuu nimekaa najiuliza sana kutokana na Sakata linaloendelea,

1.Swali ili uwe mkuu wa mkoa yakupasa kuwa na Elimu kiwango gani?

2. Nafasi ya mkuu wa mkoa inasomewa au ni yakuteuliwa tu kwa utashi wa kiongozi aliye madarakani kuona kwamba huyu mtu atanisaidia kwenye 1,2,3

3. Kwanini watz tunapiga Sana kelele kuhusu Elimu ya Mheshimiwa Makonda huku tukijua ni nafasi ya kuteuliwa?

4. Ukaguzi wa vyeti fake ulikuwa unalenga wafanyakazi wa namna gani?

5. Hivi ni kweli watz hatuna shughuli ya kufanya kabisa?

Naomba mwenye uelewa anijuze nipate kuelewa naomba kuwasilisha.
NB: mods nawaona tu...
c41e1ed15b23f2f87a68886f753d6bcd.jpg
hivi ukiwa na zero, utaongoza watu wenye degree? ukiwa kwenye mikutano si utahitaji mkalimani? no wonder kuna baadhi ya viongozi huwa hatusikii wakiongea kiingereza hata cha kunywea maji tu.
 
Kumbuka hata machifu enzi zile waliteuliwa kulingana na uwezo wake na maamuzi kuna wakati nchi inahitaji maamuzi magumu hayahitaji shahada
hata kufundisha darasani na kutibu wagonjwa hospitalini ukiwa na vyeti vya kugushi ni maamuzi magumu pia .tuwarejeshe waliotumbuliwa kwa vigezo vya vyeti.!
 
Mkuu unauhakika na unalosema mkulu Si alimkuta jamaa akiwa Dc
Ni kweli ila katika kila uteuzi wasifu wa mtu hurejewa kabla ya kumteua au kumwajili mtu.
Kama Ingetambulika aligushi vyeti asingeteuliwa ndo maana yeye mwenyewe aliona kuna faida kutafuta cheti cha mtu
 
Yule mkuu wa kanisa alitueleza jana kupitia audio yake kwamba ana Cheti cha jamaa chenye division zero, mkuu Umewahi kuona Cheti cha namna hiyo nchi hii
Sijawahi kuona cheti cha mtu mwenye Zero..
Sijui ameandikiwa ninj humu Kwenye Cheti
FFFFF Zote au kikoje kikoje
 
Mliambiwa hivi mnampiga vita ktk U-DC sasa nampandisha U-RC ili watu wanune zaidi, na mkiendelea na kelele zenu, nitampandisha kuwa waziri au balozi. Mi namkubali tu hivyo alivyo.....kijana chapa kazi...
 
Tuache unyumbu, Tz ingekuwa na ma RC 10 kama Makonda nchi yetu ingekuwa mbali sana kimaendeleo
 
Back
Top Bottom