Hivi ili mwanamke uwe unampenda, ni lazima uwe unampatia hela kila anapohitaji?

swali hilo linaenda sambamba na hili?
ni lazima mpenzi wako ambaye hamjafunga ndoa akiomba mapenzi kumpa mara kwa mara kila anapohitaji?
jibu la hapa linaweza kujibu swali la hapo juu...
Kwa mtazamo wangu mm. Ukiwa katika mausiano awe she/he ukiwa mnakutana kimapenz mara kwa mara inafanya mnachokana haraka na ndo maan ukiona unamvulia mwanaume nguo kila mara inakuwa anakuchoka This is answer
 
Kweli kaka ibrahim maana ukimnyima mara mbili tu ata kama anajua 7b anaanza kukimbia polepole...
Unajua how about love Ukianzia karne hii ya 21 hasa msichan wa xx wanaangalia pesa na siyo mapwnz ya kweli. kwan mapwnzi ni pessa au ni moyo wako.

Na kingine cc wanaume kama humpend msichana unataka kumvua nguo tu ndo umwache hiii siyo mwambie ukweli usimfanye ajute kukupenda ndo maan sitaki kumpenda mwanake ili aniumize na nimuumize ngoja mpaka niwe na malengo ndo nianze kumpenda mwanamke
 
Usipotoa pesa hata I love you inakuwa ngumu kusema...kweli kuna uhusiano mkubwa kati ya pesa na penzi
 
Wanasemaga No Money No Honey kuwa mvumilivu mkuu kubali kuliwa...jamaa wa Msoga aliwahi sema huwezi kula bila kuliwa
 
Byb sac
Kitu ambacho kinanishangaxa mim mna ela zenu kweli but mnaamin kua mna haki ya kupatiwa ela kila mnapoitaj ata kama mna uwezo wa kujitatualia baadhi ya shida zenu...
Tatizo ni mfumo ndugu. Mwanamke anakua akijua yeye ni wakuhudumiwa na mwanaume anakua akijua yeye ni wakuhudumia .hivyo ni ngumu kubadilisha saivi endeleeni tu kuhudumia.
 
Teh Teh Teh pesa zipo na zinatafutwa pia, tatizo sio kila mwanamke ana sifa ya kuhongwa. Harusi yako nialike nije kama vipi..
Naona sasa tunaongea lugha moja...mualiko wako ni passport yako tu ndugu...itakuwa vyema ukiwa muwakilishi wa jf
 
Kwani kabla hamjawa wapenzi, je ni nani alikuwa anampa pesa? Na alikuwa anampelekea nani shida zake. Na ukimnyima hela je penzi linavunjika? Na penzi lake ilikuwa biashara?
 
Usipotoa pesa hata I love you inakuwa ngumu kusema...kweli kuna uhusiano mkubwa kati ya pesa na penzi
Tukitumia hela tunawapata wanawake wengi wanaotupenda kwa sababu ya hela a.k.a gold diggers. Yan mwanamke anapewa hela ila hizo dharau anazokutana nazo, balaa nusura mkosi
 
bora hata zingekua zina mpangilio, Leo hiki kesho hiki hawajui tuna ndugu wengine nini
Yap, nafikir wanawaza kua sisi hatuna ndugu wengine zaid yao, kisha uwaga awataki ata kutupa muda tukawatafutia wao waktaka apoapo tuwape, vinginevyo watadai hatuna mapenzi kwao.. Ni shida kaka
 
Hawa viumbe siyo siku ikikosa tu mwenzako anachukulia humpendi kabisa tena anasahau yote ya nyuma kuhusu pesa uliyomsaidia tena akiwa na shida kubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom