Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
Just to gain experience, course nlopursue ni Economics mkuuMkuu internship ya MD? Au ya fakat gan
Swali lako gumu kujibukwa nini usipate?
Hiyo GPA ni fursa kwa wenzangu na mimi wa vyuo vya Asante MMEMKWA lakini kwa wale wa vyuo vikongwe hizo nafasi watazisikia kwenye bomba!PWC kama una Division One Form 4 na Form 6., na A ya Basic Mathematics Form 4.! Peleka maombi na ukiwa na GPA ambayo inavuka 4.0 ni vizuri zaidi., tena Peleka na Deloitte na KPMG.!
Hiyo GPA ni fursa kwa wenzangu na mimi wa vyuo vya Asante MMEMKWA lakini kwa wale wa vyuo vikongwe hizo nafasi watazisikia kwenye bomba!
Vyuo vikongwe una maanisha nini.? Mimi nimefanya kazi PWC 3 years, chuo nilisoma Mzumbe ila kuna watu nlikuwa nafanya nao kazi wametoka UDSM n.k.! Una maanisha nini unaposema vyuo vikongwe.? na kuna uhusiano gani kati ya vyuo vikongwe na GPA.?Hiyo GPA ni fursa kwa wenzangu na mimi wa vyuo vya Asante MMEMKWA lakini kwa wale wa vyuo vikongwe hizo nafasi watazisikia kwenye bomba!
hapo umesomeka vyema mkuu maana hizi GPA za huku kwenye elimu bure zinatisha.Unakuta mtu ana div.3 A level lkn ana GPA 4.8 tehe tehee ELIMU BURE!90% wa staff wa pwc, kpmg, delloulite na ernst and young wamesoma undergraduate udsm.. na ikifuatiwa na BAF mzumbe..
vyuo vya mmemkwa ni ngumu kupata nafasi sabab gpa zao huwa hazifanani na matokeo yao ya o level na a level... div 1 ziwepo toka chini o level na a level lazima ziwepo ndio gpa inafata....
Soma comment ya Shauri mbaya hapo juu unaweza ukanielewa kwa mbaali!!Vyuo vikongwe una maanisha nini.? Mimi nimefanya kazi PWC 3 years, chuo nilisoma Mzumbe ila kuna watu nlikuwa nafanya nao kazi wametoka UDSM n.k.! Una maanisha nini unaposema vyuo vikongwe.? na kuna uhusiano gani kati ya vyuo vikongwe na GPA.?
Alichoongea Shauri mbaya na wewe ni two different things., we ulisema hizo nafasi watazipata wa MEMKWA vyuo vikongwe hawawezi pata.! Alafu unatakiwa ujue hatuangalii mtu kasoma chuo gani tunaangalia huyo mtu ni competent kiasi gani kichwani., kwa hiyo usiseme sijui kuna vyuo vya Asante MMEMKWASoma comment ya Shauri mbaya hapo juu unaweza ukanielewa kwa mbaali!!
Kampuni nyingi za kigeni zinahitaji watu ambao ni ethical, well mannered, committed na wenye exposure kubwa sana na wanaofahamu dunia hii imetoka wapi, ipo wapi na inaelekea wapi. ingawa wengine wanaingia huko kwa kujuana kutokana na connections walizonazo na watu wa karibu wanaojuana, kwa kuwa ndio tabia za watu weusi kupeana deals kwa kujuana. ufanyaji kazi kwa bidii hauna uhusiano na GPA ya mtu hata kidogo. malezi ya mtu tangu akiwa mdogo pamoja na kujiongeza kwake ndio kuna matter sana. ila ni vema kama mtu kama ana vyote kwa pamoja yaani ni mzuri kichwani (GPA) pamoja na uchapaji kazi.
unawekuta kwa mfano mwanafunzi kama anasomea B.COM ya accounts yeye anakomaa tu na taaluma yake ile full bila hata kuwa mdadisi walau kidogo wa masuala ya social and political science, ICT na mambo mengine mengi sana nje ya taaluma yake. hapa sina maana uende deep ama kutafuta kuonekana na mjuaji wa mambo, hapana. mbali na kwamba utakuwa ni accountant, ila unaweza kukutana na changamoto za kikazi zinzohitaji ujuzi wa taaluma nyingine ya nje kabisa.Nimekupa like 100, mie pia nashangazwa sana na tabia yetu ya kuunganisha juhuzi kazini na GPA, ninavyoonaga mtu amekazana tu kusoma darasni bila kujua vitu vingine nje ya masomo ya fani yake. Ukimuuliza kitu kidogo nje ya kozi yake chali kama kifo cha mende.
Mko sahihi kabisa., hauwezi ukapima ufanisi wa mtu kwa GPA.! Ila hizi Big 4 Auditing Firm ndo utaratibu wao wa kuajiri, wao wanachukua watu wenye GPA na wenye A za Mathematics kutokana na nature ya kazi zao, wanaamini mtu mwenye GPA kubwa ni mtu mwenye akili anayeweza kufanya kazi yeyote inayohitaji kutumia akili nyingi na wanaamini mtu mwenye A ya Mathematics ana uwezo wa kufikiri mkubwa hivyo anaweza kufanya kazi zinazohitaji kutumia akili nyingi.! Ingawa sometime inaweza isiwe kweli,Nimekupa like 100, mie pia nashangazwa sana na tabia yetu ya kuunganisha juhuzi kazini na GPA, ninavyoonaga mtu amekazana tu kusoma darasni bila kujua vitu vingine nje ya masomo ya fani yake. Ukimuuliza kitu kidogo nje ya kozi yake chali kama kifo cha mende.
Kampuni nyingi za kigeni zinahitaji watu ambao ni ethical, well mannered, committed na wenye exposure kubwa sana na wanaofahamu dunia hii imetoka wapi, ipo wapi na inaelekea wapi. ingawa wengine wanaingia huko kwa kujuana kutokana na connections walizonazo na watu wa karibu wanaojuana, kwa kuwa ndio tabia za watu weusi kupeana deals kwa kujuana. ufanyaji kazi kwa bidii hauna uhusiano na GPA ya mtu hata kidogo. malezi ya mtu tangu akiwa mdogo pamoja na kujiongeza kwake ndio kuna matter sana. ila ni vema kama mtu kama ana vyote kwa pamoja yaani ni mzuri kichwani (GPA) pamoja na uchapaji kazi.
unawekuta kwa mfano mwanafunzi kama anasomea B.COM ya accounts yeye anakomaa tu na taaluma yake ile full bila hata kuwa mdadisi walau kidogo wa masuala ya social and political science, ICT na mambo mengine mengi sana nje ya taaluma yake. hapa sina maana uende deep ama kutafuta kuonekana na mjuaji wa mambo, hapana. mbali na kwamba utakuwa ni accountant, ila unaweza kukutana na changamoto za kikazi zinzohitaji ujuzi wa taaluma nyingine ya nje kabisa.