Hivi hii ni jina la Eliza kwangu lina laana gani?

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Habari zenu,
Nimekuwa na mahusiano na madada wengi ila kati yao asilimia 95 ni wakina Eliza, kila nikimtongoza mwanamke nikimuuliza Tu jina utasikia naitwa Eliza na hawanikatai na Mimi Ndiyo huwa nawaacha, na nikimuacha tu nikipata mwingine naye anakuwa ni Eliza,yani kwenye simu yangu nimesave wakina Eliza kuanzia Eliza 1 mpaka saiz wamefika Eliza 28,
Sasa nauliza Hivi hii ni laana au ni nini na je kuna mtu mwingine amekumbana na hali hii?
 
Kama ni kweli una bahati ya kukamata akina eliza na hawakukatai hebu kajaribu hio bahati kwa Lulu maana nae ni eliza. Ukifanikiwa utuletee ushahidi wa picha kisha tukupe ushauri mzuri zaidi.
Haaa Kumbe ngoja subiri mkuu
 
Kuna nguvu ya uvutano isiyoonekana ,
Ni nguvu ya kiroho,

LAW OF ATTRACTION,

Hii husababishwa na imani yako wewe mwenyewe.
 
Kama ni kweli una bahati ya kukamata akina eliza na hawakukatai hebu kajaribu hio bahati kwa Lulu maana nae ni eliza. Ukifanikiwa utuletee ushahidi wa picha kisha tukupe ushauri mzuri zaidi.
Shkamoo kifo cha ghafla....

 
Huo mvutano basi hatari yani mkuu nimechoka na wakina Eliza aiiise hata ningeenda kununuwa malaya nikimuuliza tu jina utasikia mie Eliza nachukia aiise basi tuu
Kuna nguvu ya uvutano isiyoonekana ,
Ni nguvu ya kiroho,

LAW OF ATTRACTION,

Hii husababishwa na imani yako wewe mwenyewe.
 
mimi ni kina eddy bna
edward
edwin
edson
edgard
edmund
eddy hata wa sasa ni eddy hadi naogopa et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…