Hivi ni muhimu kujua namba yangu ya kadi ya uanachama kuthibitisha uchadema wangu??Mkuu kadi yako namba ngapi?
maana ningetoa namba yangu bado ungekuja na singo nyingine ya usaliti.
jifunze kuwa huru.
Hivi ni muhimu kujua namba yangu ya kadi ya uanachama kuthibitisha uchadema wangu??Mkuu kadi yako namba ngapi?
Walishabaki magaidi wa siasa tu ndani ya chama mfu chadema. Na kibaya CCM iliwapelekesha sana chini ya Nape na sasa CCM inadunda mwendo wa Polepole kuelekea kuibuka na ushindi wa kishindo 2020! Hongera sana Mwenyekiti wetu kwa kutuletea Mh. Polepole ili ainadi CCM kwa utaratibu kabisa kuelekea ushindi wa kishindo 2020, 2025, 2030, 2035, 2040, 2045, 2050, 2055, 2060, 2065 ................ infinity
Chama mfu hakifai kabisa. Mliuzwa kwa nyeupe
Fisiem au?Chama Cha Mataahira
Hivi CCM ni genge la majizi au lichama la siasa!? Mbona kiongozi wake inabidi avute gomba kabla ya kutoa matamko ya kejeli na mitusi?Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?
Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?
Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?
Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la Kuku tu?