Hivi chadema ni Chama cha Siasa au Genge la Wapashikuna?

Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la kuku tu?
Mkuu kwa bahati mbaya sina interest na vyama vya siasa lakini nadhani wewe ndio kilaza zaid, kwani wakijadili wewe unapata hasara gani?
 
Kile sio chama ni Genge. Wewe chama toka upinzani uanze kipo na kinapata ruzuku ya serikali lakini hawana hata jengo la chama. Wamepanga kwenye nyumba ya boss wao. Akina Lisu na ujanja wao wote hapo hawawezi hata nyanyua midomo yao.
 
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la kuku tu?
Wewe na genge lako hamna agenda zaidi ya kuleta mipasho kukashifu upinzani?Mnatumia nguvu kubwa kufanya propaganda kuhusu upinzani,nchi hii inaongozwa na upinzani?
 
Hawawez kuongea kuhusu ufisad sababu ya kumkaribisha........ anaeypinga ufisadi alivyokuj hyo yy akaondoka na akaamua siasa za bngo bac
 
Unajua unapokuja na hoja mbele ya wanaume wenzio jiandae kwanza ndiyo utoe neno nakuomba kwa ufupi vikao vya ndani uchochezi mikutano ya hadhara hakuna kibali hayo uliyoyataja wakayasemee wapi subiri tumeomba kibali na sisi kwenda kwenye kikao cha chama Ikulu tutayasema hayo uliyouliza
 
Pashkuna ni wewe na wenzio ambao mnaona kiongozi mkuu akisema habari za Katerero mnasimama na kukata mauno kushangilia utadhani nyie ndio mmepigwa hiyo Katerero. Akisema habari za mto Ngono kwenu ni kujifunga kanga zimeandikwa "chagua ccm" na kunengua mpaka shanga zinakatika mlizo vaa wanaume. Huo ndio upashkuna.
Mwanaume unaona mwanaume mwenzio anahorojoka maneno ya hovyo na badala ya kumuonya una mshangilia mwanzo mwisho hata kama kakutukana.
Fungueni akili nyie mapashkuna wa Lumumba mujitambue kuwa Magufuli hapingwi hoja zake kama Mwenyekiti wa ccm,la hasha hilo halituhusu, hilo ni la huko kwenu. Anakosolewa kama Rais wa Tanzania kwani Tanzania ni ya wote. Akitaka hayo mambo ya Katerero na Mto Ngono asubiri kwenye vikao vyenu vya Dodoma. Kama wajumbe watatandikwa katerero hiyo ni nyie kwa nyie.
 
Mpk umehangaika na umeleta huu uzi maanake bado unahofu na cdm. Ingekukuwa cdm ni pashkuna usingepoteza mda kuandika hayo kwasababu pashkuna halisi wapo na mmewapuuza. Uzi huu ndo unaimarisha cdm zaidi
 
Fanyeni Kazi Hacheni Kutegemea Mali za Urithi Kutwa Kucha Mnashinda Mitandaoni Kwa Kupost post Upuuzi Kama Huu?
 
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la kuku tu?
Kwa matamshi yako ndo hapo watu hukutwa na makosa ss kama ametamka maneno ya ajabu ya kinyume na utu kwann asisemwe hivi huyu mtu ww unamuona ni mungu asiyekosolewa?mtu hupimwa kwa kauri zake lkn pia matendo yake nakushangaa ww hata kwa maelezo yako ya kipumbavu.
 
Raisi ni kiongozi lkn kiongozi huyo anaposhindwa kuonyesha njia hana tofauti na kipofu.
Njia gani ameionyesha kagera? badala yake kaja na kauri za kejeli, vitisho, kusimanga, majivuno, na jeuri.
Kwakauri hizi raisi anataka mwenyewe kubezwa hata na mtoto kwani haonyeshi njia ya jamii kujitoa kwenye matatizo
 
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la kuku tu?
Chagga Kingdom
 
Unasemea wapi wakati huyo mtu amekataza watu wasifanye siasa wakati yeye anaendelea pamoja na serikali yake yote kila kinachofanyika ni siasa kuanzia kuongea mpaka kutenda vyote siasa ila wengie hapana, halafu leo unatokea kusikojulikana unaanza kuhoji pumba ili ujibiwe vibaya mkawafunge watu! na kwa taharifa yako kuomkosoa ndio siasa ya upinzani unategemea mpinzani wako akutengee uso upige tu, mbona na wewe umeonyesha upinzani kwa hii thead yako kwa nini hukusifu ukosoaji unaofanywa badala yake nawe umekosoa au hujielewi! Ukikosolewa jiangalie ulipojikwaa kama hakuna kosa, songa mbele maana utakuwa umejuwa mpinzani wako hana hoja ila ukihamaki hiyo ni ishara kweli umekosea na mpinzani wako yuko sahihi! Hatatokea kamwe mpinzani wako akupongeze! na wote wanaopenda kupongezwa hawajiamini!
 
Kumbe mnapewa airtime buku 7 ndio kisa hata hoja hamna za kuongea mbalopokalopoka tu! aibu nyie njooni tulime hata tumbaku mtapata heshima yenu!
 
Kwa maana nashindwa kuelewa, hakuna hoja za maana wanazojadili zaidi ya chuki binafsi dhidi ya Raisi wa JMTZ, kutwa nzima wanashinda wakimuombea mabaya na misemo ya mtu ambaye amekataa tamaa ya maisha, hivi ni kwa nini?

Mbona kama Chama cha Siasa kuna mengi sana na ya muhimu kuilezea jamii, kuanzia Elimu, Miundo mbinu, Kodi, Nishati n.k. Kwa nini hamfanyi hayo?
Mbona zamani mlikuwa na hoja za maana kama kupinga Ufisadi, wizi kwenye mali asili zetu, Miundo mbinu, ile chadema ilienda wapi ya hoja za maana? Mbona mmegeuka watu wa mipasho kama Hadija Kopa?

Leo hii chadema mnakaa kufwatilia Hotuba za Raisi neno neno ili mpate cha kuongea kweli? Chama cha Upinzani kwenye Nchi masikini na yenye matatizo lukuki kama yetu mnakosa hoja za kuongea kweli na kuanza kutafuta raisi alisema neno gani kwenye Hotuba zake neno ambalo sia ajabu hata yeye mwenyewe halikumbuki tena?

Chadema leo imefikia mpaka kumuona Hashimu Rungwe mtu wa maana kwenye Siasa za Tanzania?
Witch hunting haiwezi kuwapa ushindi kwenye uchaguzi, au ndo mmeshakubali yaishe na sasa mmebakia na Dua la Kuku tu?

Ukiona matusi yanakutoka hovyo tu dhidi ya viongozi wanaoheshimika nchini jua teyari roho ya mauti inakunyemelea.
 
Back
Top Bottom