TV4Sale Hisense 40 inches Smart TV kwa 765,000

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,909
Hisence Smart TV
40 inch slid
full hd 1920×1080 pure HD
HLG support
game enhancer
wi-fi n ethernet connectivity
screen mirroring tech
integrated chrome browser
2HDMI
2USB &OPTICAL
ENERGY STAR
Dolby speaker yaan utoitaj subwoofer
Used miez 5 tu
Bei 765000 tu


IMG-20210614-WA0001.jpg
 
Laki, 6 kamir ipo
Mkuu kama una hitaji tv , kuna jamaa ni member wa humu humu, yupo zanzibar tv zake ni za uhakika ni mpya kabisa, na bei zake huwezi pata sehemu yoyote ile.mimi nilichukua kwake mwaka jana.yaani unakuta bei zake zinatofautiana na za kariakoo kwa karibu 150, 000+
 
Mkuu kama una hitaji tv , kuna jamaa ni member wa humu humu, yupo zanzibar tv zake ni za uhakika ni mpya kabisa, na bei zake huwezi pata sehemu yoyote ile.mimi nilichukua kwake mwaka jana.yaani unakuta bei zake zinatofautiana na za kariakoo kwa karibu 150, 000+
Tupatie contact zake au hata ID yake.,tumcheki
 
Sasa huko ni kumharibia biashara huyu aliyefungua uzi huu!
Huyu niliyemuelekeza amesema ana laki 6, na muuzaji amekataa hiyo offer yake!!sasa hapo namharibia nini tena?wewe unauza kitu umeweka bei yako, watu wanakuja na offer zao zilizo chini ya bei yako, kwa hiyo kumuelekeza mtu kwenda sehemu ili apate kitu kulingana na offer yake, ni kumharibia biashara?kidogo angekuwa hajaweka bei sawa.
 
Mimi si husiki naye, ila nilishanunua tv kwake, ndio maana nikamuelekeza mdau, wewe mtafute kwa jina hilo, kuna uzi maalum unaohusiana na uuzaji wa tv,
huo uzi upo juu kabisa unaitwa tv used jamaa kweli bei zake nzuri mi najichanga nichukue kati ya Hisense au TCL 49 au 50 4K najua kwa hapa Dar bei yake sitaiweza labda ninunue used ambapo ni sawa na kucheza kamari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom