Elijah Steel
Senior Member
- May 17, 2016
- 118
- 165
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama nyingine zote duniani hua zina kua ni za aina mbili kwamba ni ALMASI MCHANGANI ambayo watu hawajaishtukia au zinakua ni PUTO HEWANI ambalo muda wowote hupasuka na kudondoka(nosedive). Kwa utafiti mdogo niliufanya ili kugundua kama inafaa kununua hizi hisa nimegundua kitu ambacho hata mimi binafsi nilikua SURPRISED.
Beware the game of investing can be extremely dangerous.

OFA YENYEWE
Voda wameofa hisa 560,000,000/= ambazo wanasema ni 25% ya thamani ya kampuni ya kwa bei ya Tsh 850 kwa hisa moja. So ukichukua 560,000,000x850=476,000,000,000/= (Bilioni 476). Kwa maana hiyo sasa kama 25% ya voda ni Bilioni 476 then thamani ya voda kwa sasa ni 1,904,000,000,000(Trilioni 1.9). Actually kwa muonekano wa kawaida unaweza sema kweli voda ina hiyo thamani lakini ukiangalia Vitabu vya voda utagundua fika kwamba hii sio thamani halisi ya kampuni hii na utagundua kua hisa hizo zimeuzwa kwa bei kubwa mnoooo. Ninavosema bei kubwa simaanishi Tsh. 850 bali ile 850x560,000,000/=
KWANINI SASA NASEMA HISA HIZO ZIMEKUA OVERPRICED?
Kwa kufuata Magwiji wa masoko ya mitaji ambao ni Benjamin Ghraham (The father of Wall street), Warren Buffet (The third richest man in the world) na Philip Fisher (A succeful investor) ambao wote hutumia Firm Foundation Theory ambayo katika kugundua thamani ya hisa husika basi hujikita zaidi katika kuangalia thamani halisi (intrsic value) ya kampuni kupitia Assets ilizonazo. Ambapo huangalia je thamani ya kampuni katika soko inauwiano gani na thamani yake halisi? kama thamani ya soko iko chini kuliko thamani halisi basi hushauriwa kununua hisa za hiyo kampuni and Vise versa. It can simply be explained as follows “buying securities whose prices were temporarily below intrinsic value and selling ones whose prices
were temporarily too high”
Njia inayoamika kutafuta thamani halisi ni kwa discounting ila sitaitumia ili watu wasiwe bored na calculations nitaangalia zaidi kwenye assets na malipo ya Gawio kama ifuatavyo kwenye prospectus ya Voda wameonyesha wana
ili kupata NET ASSETS VALUE=TOTAL ASSETS-INTENGIBE ASSETS – LIABILITIES.
TOTAL ASSETS =1,390,952,000,000/=
INTENGIBE ASSETS = 71,394,000,000/=
LIABILITIES = 828,401,000,000/=
THEN
NET ASSET VALUE= 1,390,952 – 71,394,000,000 -828,401,000,0000
NET ASSET VALUE=491,157,000,000/=
Nadhani thamani halisi ya Voda ni 491,157,000,000/=
So thamani ya Trilioni 1.9 ambayo ndo hisa zinaonyesha ni mara 4 zaidi ya thamani halisi ya Net assets za Voda.
Nawasikitikia watu waliorush kununua hizi hisa(especially wale walio chukua mikopo kununua hizi hisa)maana najua in time the “market will correct itself. Na tunaskia kampuni zinatengeneza pesa nyingi kwenye masoko ya mitaji kuliko hata kutokana na mauzo ya bidhaa au huduma.
NB: Ni ngumu kutabiri kupanda au kushuka kwa hisa kwa kua thamani ya hisa hua revealed kutokana na supply and demand so inaweza tokea hisa zikapanda zaidi kwa muda mfupi lakini hii itakua si kitu cha kudumu.

mahesabu yako sio sahihi..............ukitaka kujua thamani halisi ya vodaHabarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama nyingine zote duniani hua zina kua ni za aina mbili kwamba ni ALMASI MCHANGANI ambayo watu hawajaishtukia au zinakua ni PUTO HEWANI ambalo muda wowote hupasuka na kudondoka(nosedive). Kwa utafiti mdogo niliufanya ili kugundua kama inafaa kununua hizi hisa nimegundua kitu ambacho hata mimi binafsi nilikua SURPRISED.
OFA YENYEWE
Voda wameofa hisa 560,000,000/= ambazo wanasema ni 25% ya thamani ya kampuni ya kwa bei ya Tsh 850 kwa hisa moja. So ukichukua 560,000,000x850=476,000,000,000/= (Bilioni 476). Kwa maana hiyo sasa kama 25% ya voda ni Bilioni 476 then thamani ya voda kwa sasa ni 1,904,000,000,000(Trilioni 1.9). Actually kwa muonekano wa kawaida unaweza sema kweli voda ina hiyo thamani lakini ukiangalia Vitabu vya voda utagundua fika kwamba hii sio thamani halisi ya kampuni hii na utagundua kua hisa hizo zimeuzwa kwa bei kubwa mnoooo. Ninavosema bei kubwa simaanishi Tsh. 850 bali ile 850x560,000,000/=
KWANINI SASA NASEMA HISA HIZO ZIMEKUA OVERPRICED?
Kwa kufuata Magwiji wa masoko ya mitaji ambao ni Benjamin Ghraham (The father of Wall street), Warren Buffet (The third richest man in the world) na Philip Fisher (A succeful investor) ambao wote hutumia Firm Foundation Theory ambayo katika kugundua thamani ya hisa husika basi hujikita zaidi katika kuangalia thamani halisi (intrsic value) ya kampuni kupitia Assets ilizonazo. Ambapo huangalia je thamani ya kampuni katika soko inauwiano gani na thamani yake halisi? kama thamani ya soko iko chini kuliko thamani halisi basi hushauriwa kununua hisa za hiyo kampuni and Vise versa. It can simply be explained as follows “buying securities whose prices were temporarily below intrinsic value and selling ones whose prices
were temporarily too high”
Njia inayoamika kutafuta thamani halisi ni kwa discounting ila sitaitumia ili watu wasiwe bored na calculations nitaangalia zaidi kwenye assets na malipo ya Gawio kama ifuatavyo kwenye prospectus ya Voda wameonyesha wana
ili kupata NET ASSETS VALUE=TOTAL ASSETS-INTENGIBE ASSETS – LIABILITIES.
TOTAL ASSETS =1,390,952,000,000/=
INTENGIBE ASSETS = 71,394,000,000/=
LIABILITIES = 828,401,000,000/=
THEN
NET ASSET VALUE= 1,390,952 – 71,394,000,000 -828,401,000,0000
NET ASSET VALUE=491,157,000,000/=
Nadhani thamani halisi ya Voda ni 491,157,000,000/=
So thamani ya Trilioni 1.9 ambayo ndo hisa zinaonyesha ni mara 4 zaidi ya thamani halisi ya Net assets za Voda.
Nawasikitikia watu waliorush kununua hizi hisa(especially wale walio chukua mikopo kununua hizi hisa)maana najua in time the “market will correct itself. Na tunaskia kampuni zinatengeneza pesa nyingi kwenye masoko ya mitaji kuliko hata kutokana na mauzo ya bidhaa au huduma.
NB: Ni ngumu kutabiri kupanda au kushuka kwa hisa kwa kua thamani ya hisa hua revealed kutokana na supply and demand so inaweza tokea hisa zikapanda zaidi kwa muda mfupi lakini hii itakua si kitu cha kudumu.
Beware the game of investing can be extremely dangerous.
unajua thamani ya minara nchi nzima?Hiyo ni kweli. We mfano chukulia tanesco asset zao zote zina thami ya tril 3. Mitambo ya gesi . Miundombinu ya umeme. Mabwawa. Majengo. Sasa voda wana vitu gani mpaka thamani ifike tril 2. Huo ni wizi. Na kweli market ni automatic na itajikorect yenyewe na hspo no kasheshe
Ila bado wame over value hisa zaomahesabu yako sio sahihi..............ukitaka kujua thamani halisi ya voda
TOTAL ASSETS + INTANGIBLE ASSET - LIABILITIES hapo ndio utapata thamani halisi ya kampuni mkuu
hisa zikishaingizwa sokoni DSE ndio tutajua kama wameziover value au la.......Ila bado wame over value hisa zao
Kwenye total assets Tatar intangible assets zimomahesabu yako sio sahihi..............ukitaka kujua thamani halisi ya voda
TOTAL ASSETS + INTANGIBLE ASSET - LIABILITIES hapo ndio utapata thamani halisi ya kampuni mkuu
Hapo kn Total assets kuna thaman ya minara ndaniunajua thamani ya minara nchi nzima?