Hiki wanachofanya Nipashe kinaudhi

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Nimejiunga na zile sms zinazotumwa kama breaking News na NIPASHE. Issue inayoniboa ni kutumiwa taarifa hiyohiyo mara zaudi ya moja.

Najiuliza kuwa ni system error au hawana taarifa za kutuma ndi maana wanatuma hivyo.

NIPASHE BADILIKENI BANA!!
 
Itachukua muda mrefu sana kwa ujumbe wako kuwafikia NIPASHE, kwanini usiwapigie simu, waandikie email, watumie sms, nenda physically etc WANAUME WA MIKOANI MNA MATATIZO SANA
 
Yaani dunia ya leo vyanzo vya habari za uhakika vipo vingi wewe unawategemea Hao Nipashe...Endelea kupigwa hela tu hamna namna
 
JF ipo ya nini kuliwa pesa kwa sms zisizo na habari za kupasuka. Insta nayo ipo faster kwa breaking news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…