successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,077
- 6,128
Magu hana kipawa cha uongozi, kwa kipindi chote cha miaka 5 na kama ikiendelea kwa miaka mingine 5, nchi itaenda hovyo hovyo tuuuu!!! Maana hakuna Vision, ni kukurupuka tu. Mtu analala kesho akiamka anafanya alichoota usiku. Hakuna mipango/mikakati inayoeleweka ya kutuvusha kutokea hapa tulipo.
CCM ni janga na litaendelea kuwa janga. Kazi yao ni kuharibu.
Hata wakifanya jambo zuri kwa maslahi ya taifa huwa halifanikiwi kwakuwa hawana dhamira ya dhati ya kusaidia wanachi wake. Mf. Katiba mpya, ni jambo jema sana kwa maslahi ya taifa, lakini sote ni mashahid wa kilichotokea.
Kwahiyo anaesubiri eti nchi itapiga hatua chini ya utawala wa CCM ni mpumbafu au ni sawa na mfu.