Hii sheria ya NEMC kujenga mabondeni ni kwa Dar es salaam tuu??

Mmasai orgn

Member
Dec 21, 2015
33
22
Katika pita pita yangu katika Jiji la utalii Arusha maeneo ya Sanawari na Sakina nimeona mijengo ya kifahari kando kando ya mito sasa napenda kuuliza bomoa bomoa ni kwa Dar au na mikoa mingine inaathirika??
 
Una utani na Manga eeeh.......ngoja akusikie......
 
Katika pita pita yangu katika Jiji la utalii Arusha maeneo ya Sanawari na Sakina nimeona mijengo ya kifahari kando kando ya mito sasa napenda kuuliza bomoa bomoa ni kwa Dar au na mikoa mingine inaathirika??

Sheria hii ni sehemu zote, wanaweza wakawa kimya leo kutegemea na watendaji wa eneo hilo lakini kuna siku watafika huko.
 
ni kwa dar tu ,serikali imecheza deal ili sehemu zilizobomolewa zijengwe gardens(bustani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…