Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,915
- 2,046
watu wanajua Ku zoom maneno asee anyway...
√√mme wa mtu, mke wa mtu
√√mme wa mtu, mke wa mtu
Handbag imeshikwa na msaidiz wa vice President na si PMitakua ya mama,wa pili kutoka kwa mkuu,PM amempokea ili apeane salam vizuri na Mkuu
tazama vizuri hajabeba pmBodyguard wa mama alitakiwa aibebe.
Kuna mtu nyuma ndo ameshika hyo handbag....check vzuri