Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

Hapana jamani nyuma ya mama Samia kuna board guard wake ndo kabeba hiyo pochi, ila yeye haonekani, inaonekana pochi tu.
 
angalia vizuri kuna mtu nyuma ya PM

Ukiangalia mkono wa PM na mikanda ya bag utagundua kuna mtu.

Pia kwa chin kuna kama kagiza flan cha kuashiria kuna mtu ameibebaa
Hiyo MTU alimkumbatia pm kwa nyuma mini maana hata miigguu isionekane kwani kuna dhambi kumbebea kikoba
 
Hivi haya mazoea yaliyopitiliza yataisha lini?

Kwanini afanye hivyo sasa? Huyu si mke wa mtu halafu na yeye ana mke wake?

Wameshazoeana hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom