Hii ni dedicatation kwa wanawake wote

Hekaya za walioshndwa.... Kutembea na ukoo ma hakukufany upunguze machungu baba... Angetokea mmoja ana aids tulkua tunakuzka bila kibal.... Afu kutembea na ukoo mzma hakukufanya uwe mwanaume ni sifa za wavulana hzo
 
Ilikuwa haina haja yakulisema huku endelea na hicho unachotaka
Hapa ungekuja kuomba ushauri mkuu
 
Ilikuwa haina haja yakulisema huku endelea na hicho unachotaka
Hapa ungekuja kuomba ushauri mkuu
 
Ilikuwa haina haja yakulisema huku endelea na hicho unachotaka
Hapa ungekuja kuomba ushauri mkuu
 
ilihali wapo dada zangu na mama yangu hao hawahusiani hapa!!

mliobaki ambao kaeni chonjo sababu uwezo ninao,nia ninayo na uthubutu ninao!

kiasi mlichoniumiza na kunisigina wanawake imetosha sasa vita nimetangaza kwa huyu niliemfanyia naona haijatosha na kiu yangu haijaisha ya kuwalipizia!

nilimvalisha pete nikampeleka kwetu akanipeleka kwao wazazi wote wakajua namuoa!lakini nilichofanya nikatembea na wadogo zake wawili na akajua kisha kwa uchungu na hasira akaja kunitupia pete ofisini mbele ya staff wenzangu sikujuta ila nilifurahi nikaona amepata kidogo kwa nilichotaraji!!

nachukia wanawake na sitawapenda kwa usaliti walionifanyia.siamini kama maisha yangu yaliyobaki nitapenda tena zaidi za kuigiza tu kama wema!!

ubaya unakuja kwamba uwezo ninao wa kumpata ninaemtaka na kumuumiza nitakavyo!am desperate to see them suffer!

mungu nisaidie kisasi nitaumiza wengi sana kwa kisasi.nitaumiza hata waliomizwa tayari sitajali
Usaliti haujaanza leo ndugu,ulianza zama hizo tangu na tangu na mpaka Yuda anamsaliti Yesu inamaana wasaliti walishakuwepo miaka na miaka,pamoja na maumivu na mateso makali yote yale Yesu hakutaka wala hakufikiria kulipiza kisasi ilihali uwezo alikuwa nao.Ni vile alijua kabisa kulipa kisasi si kwa aliyekukosea ama mtu mwingine wa aina ya aliyekukosea kutalifanya jeraha lako kupona.
Siku zote wenye busara na hekima husamee na wakaendelea na maisha na si kwa sababu tunaowasamehe wanastahili msamaha ama makosa yao yanasameheka ila ni kwa sababu nafsi zetu zinahitaji kuwa na amani na nuru mpya ili tuendelee na maisha mapya.
 
why are you excluded your beloved mom and sister on your title and later you generalize the whole women..............Pathetic

√Najuwa ndugu wa mime wanakuwanga na kitu gubu la koo , kumbe hata waume wenyewe ni keroo tupuu
 
Hawa ndo wanatuharibia wake wa
Kuoa aiseee kila tukitongoza
Utaskia stak kuona mwanaume
Mbele yang stak kuskia neno
Mahusiano/ndoa

Badala akamuumize huyo
Alie mwaga mboga
Nae amwage ugali watoke draw
Nipo mkuu rombo upo wap ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom