Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,936
- 19,129
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA