Hii ndiyo sababu jamaa hataki bunge liwe live

HILI JAMAA BURE KABISA

Umejuaje?HAna hata elimu ndogo tu ya kujua kwamba SERIKALI haina mandate ya kulisimamia BUNGE.NAjiuliza aliyempa UWAZIRI aliangalia kigezo cha kupata ZERO form four,sielewi kwa kweli
 
MWe!!! Napeeeee! Ni nini mbaya? Mbona mapema Sana? Lingekuwa binge la bajeti ungeomba na shuka LA kimasai kabisa. Ona sasa unavyochoreka kwa kutetea usichoweza kukisimamia. Ptuuuuuh!!
 
Hakuwa amelala. Alikuwa anasikiliza maneno ya ZZK. Ila alikuwa anaonekana (reaction) kuonesha dharau ya hali ya juu kwa maelezo ya ZZK au kuonesha hali ya kiburi.
Hatuhitaji msaada wako,picha inajieleza maelezo marefuuu ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…