Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Napenda mwanamke ajue kuwa yeye ni mwanamke.
Napenda mwanamke asivae wigi
Napenda mwanamke asijipake Ile mirangi rangi, asipake wanja
Napenda mwanamke asijichubue, aridhike jinsi alivyo
Napenda mwanamke akate nywele, (hasisuke)

Napenda mwanamke mtafutaji, ajiamini kuwa anaweza kufanya jambo bila Mwanaume
Napenda mwanamke ambaye siyo mwoga wa kuthubutu na anaweza kusimama mwenyewe

Napenda mwanamke ambaye hana makundi ya marafiki
Napenda mwanamke ambaye hana kucha ndefu, habandiki kope, havai dela bila chupi

Napenda mwanamke ambaye anaridhika, anajituma ili kutimiza malengo aliyokuwa nayo
Napenda mwanamke mcha Mungu na awe na hofu na Mungu, mwenye upendo wa dhati, asiyependa starehe kama kwenda club, kunywa bia n.K

Wewe unapenda mwanamke au mumeo wa aje inawezekana uliye naye siyo wako ni wangu
 
The best way ni kutafta mwanamke af umtreat unavotaka kwa sabab ni vigum kumapata ambae anavigezo unavitaka kw mfanoo me dem wang mwanzo alkuwa mtu qa kutumia pesa ovyoo but now amejilekebisha na amekuwa team magufuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…