Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
It doesn’t make sense siku zote washauri rasmi wa raisi ni civil servants walioajiriwa na serikali.
Raisi anaweza pendekeza unofficial consultants to advice him on certain matters to balance his decision sio apokee ushauri wa civil servants tu au hao watu wanaweza pia saidia kuwapa mawazo wasaidizi wake.
Unofficial advisers hawana nguvu hizo serikalini kama unazotaka kutuaminisha; Mo Dewji awezi kuwa that influential directly kwenye politics za S.A.