Earthworker
Member
- Jul 15, 2011
- 83
- 30
Ila sie ndo wanaume wa ndoto zenu! Wazee wanawapa pess ila wanawapaka shomboNa muwapishe wazee, make wazee wanafadhilika ukimjali tu anakujali, anakupenda, anakudekeza, anakubembeleza, anakuhudumia..... Sio nyie visokorokwinyo mmekalia mashauzi tu
Shombo mnapaka nyie vijana wala chips kwa soseji, wazee unawajua unawasikia vyuma vya mjerumani vile akiondoka unabaki kumchungulia dirishani unawaza huyu ni mzee au kavaa kinyago cha mzee.....Ila sie ndo wanaume wa ndoto zenu! Wazee wanawapa pess ila wanawapaka shombo
Na muwapishe wazee, make wazee wanafadhilika ukimjali tu anakujali, anakupenda, anakudekeza, anakubembeleza, anakuhudumia..... Sio nyie visokorokwinyo mmekalia mashauzi tu
Wasimamia kucha wako wapi?Kazi yenyewe ndogo malipo makubwa siyo.
Ukituachia tunasimamia kucha pesa iende kihalali.
Wasimamia kucha wako wapi?
Labda unasimamia kucha kuchungulia nje ya ukuta....Nipo hapa
Labda unasimamia kucha kuchungulia nje ya ukuta....
Labda unabahati mbaya ya kukutana na masharo wasio weza kazi ndo maana unajumuisha! Wazee watawafia vifuaniShombo mnapaka nyie vijana wala chips kwa soseji, wazee unawajua unawasikia vyuma vya mjerumani vile akiondoka unabaki kumchungulia dirishani unawaza huyu ni mzee au kavaa kinyago cha mzee.....
View attachment 339451
Tunazika, tunakula ubwabwa, tunasahau..... Tunaendelea na wazee wengineLabda unabahati mbaya ya kukutana na masharo wasio weza kazi ndo maana unajumuisha! Wazee watawafia vifuani
Shombo mnapaka nyie vijana wala chips kwa soseji, wazee unawajua unawasikia vyuma vya mjerumani vile akiondoka unabaki kumchungulia dirishani unawaza huyu ni mzee au kavaa kinyago cha mzee.....
View attachment 339451