Hii Itakua Wapi Wakuu

Hii itakua kutoka Mbeya mjini kwenda Lufilyo huko kijijini. Chalii yangu mmoja alisoma huko akaniambia wanapanda lori au pick up kama hiyo mixture ng'ombe+nguruwe ndani ya gari.
 
Kwetu hakunaga izo mambo....acha uongo
 
Hii itakua kutoka Mbeya mjini kwenda Lufilyo huko kijijini. Chalii yangu mmoja alisoma huko akaniambia wanapanda lori au pick up kama hiyo mixture ng'ombe+nguruwe ndani ya gari.

Hahahaa.. Sasa kama ndo kawaida ya huu usafir kila siku, cha kujiulza hawa ngombe na nguruwe wanasafirishwa kila siku kwenda wap au ni picnic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…