NANDERA
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,024
- 2,488
Hata mimi ningekukana. Kwani mtu akikwambia anakupenda inamaanisha mfanye matusi? Miezi miwili toka mmekutana, hamjafahamiana unapata mimba halafu unatarajia mtu aji-committ kwa mtu ambaye hamfahamu?Hujawai kutana na matapeli wa mapenzi, jamii inabadilika kutokana na makosa ya jana. Mtu anakwambia anakupenda na wewe unampa hizo 100% baada ya 2 months ikatokea una mimba anakukana, na hamjafahamiana kiasi hicho kwamba inamjua kaka, dada au kwao. Wewe utafanya nini?