naamini mkuu alinielewa zaidi ,nini dhana iliyojijenga katika hoja yangu.sambamba pia na Dr.Rweyemamu...Dhana nzima ya kutumbua majipu imepinda.
Msome Ulimwengu, ameandika kitu nilichokisema siku nyingi hapa. Raia Mwema - Magufuli anajua ugonjwa wa saratani hautumbuki?
Huwezi kutibu TB kwa Cofta.
WELL SAID MKUUKatika hili la fukuza fukuza umakini unatakiwa manake inaonekana kila alie na mnyonge wake anamfukuza nae aandikwe kwenye gazeti..hii hali inatoa nafasi kwa wapika majungu kutengeneza majungu tu