Hey wanawake msije mkasema Sijawaambia

Yani mimi kuna jamaa angu ameoa ila anachepuka sana,siku 1 nikamuuliza mbona unasiliti ndoa kaka?
Akanambia mkewe hataki maandalizi kbs,hadi denda hatoi mazee
Dah sasa hiyo ni ndoa au depo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom