Swali kwa namba za simu za mwisho aziwezi ku gererate 20162016-1766=250. datail unazotoa mwanzon znaitengeneza hiyo so n sawa na kuchuka 2016-mwaka wa kuzaliwa.
Kweli na mimi nimekuona subiri uje kesho asubuhi.Akil za ucku hizi
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!
1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.
Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.
ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!
hizi hesabu za kudanganyana kama hii tushacheza nazo sana tukiwa sekondariKwa jinsi alivyoiset formula yake ukiweka namba yeyote lazima itakuletea 2016 .ukitaka kuamini weka 0 au namba yeyote jibu litakuja 2016
Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!
1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.
Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.
ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!
Kama ni hivyo basi naomba utengeneze wewe ili mtu ajue urefu wake kama ni rahisi kihivyo.Mathematics is all about little tricks, No 1 na 2 ni kukutisha ili uogope maths, hizo steps kila mtu atapata majibu tofauti tofauti, but the Bolded red ndio trick yenyewe inapoanzia. Namba yeyote utakayopata kwenye step 1 na 2 unatakiwa ujumlishe na 5 ili tu kama kwenye step 1 and 2 ulipata shufwa akutoe huko akulete kwenye namba Witiri kwa kuwa namba Witiri yeyote ukizidisha na 50 lazima jibu lake mwishoni kuwe na 50, sasa hapo Jumlisha 66 (Namba mbili za mwisho alizozikusudia yeye toka 1766 aliyoweka ili kukutisha zaidi) Utapata 50+66=116. Kwenye jibu hilo, hizo tarakimu mbili za Mwisho ndiyo iliyokusudiwa 16 which stands for 2016. So 2016 toa mwaka wako wa kuzaliwa ofcoz lazima upate Umri wako. Mwakani kwenye step No 5 wataongeza 1 kwenye 1766 na kuwa 1767 na utapata umri wako.
Nilitumiwa hiyo msg jana kwenye group la Whatsapp, sikufuatilia sana, ila kwa uzoefu niligundua trick kwenye hiyo 5 na 50. Hata hivyo ukijaribu kwa mwaka wa mbele yaani 2017,jibu ni shida. Hata negative haiji!Mathematics is all about little tricks, No 1 na 2 ni kukutisha ili uogope maths, hizo steps kila mtu atapata majibu tofauti tofauti, but the Bolded red ndio trick yenyewe inapoanzia. Namba yeyote utakayopata kwenye step 1 na 2 unatakiwa ujumlishe na 5 ili tu kama kwenye step 1 and 2 ulipata shufwa akutoe huko akulete kwenye namba Witiri kwa kuwa namba Witiri yeyote ukizidisha na 50 lazima jibu lake mwishoni kuwe na 50, sasa hapo Jumlisha 66 (Namba mbili za mwisho alizozikusudia yeye toka 1766 aliyoweka ili kukutisha zaidi) Utapata 50+66=116. Kwenye jibu hilo, hizo tarakimu mbili za Mwisho ndiyo iliyokusudiwa 16 which stands for 2016. So 2016 toa mwaka wako wa kuzaliwa ofcoz lazima upate Umri wako. Mwakani kwenye step No 5 wataongeza 1 kwenye 1766 na kuwa 1767 na utapata umri wako.
Lakini ukifuata Principle za BODIMAS/MAGAZIJUTO,inaweza ikakupa jibu tofauti na halisi. Hata hivyo, aliyebuni puzzle hii ni mtu anaejua vema Aljebra hasa Linear!Hii Ni HESABU chemsha bongo. Ebu ifanye. ITAKUSHANGAZA NA NI YA UKWELI!!
1: Chukua namba ya mwisho ya simu yako
2: Izidishe kwa 2.
3: Jibu lake JUMULISHA 5
4: Jibu lake ZIDISHA kwa 50.
5: Jibu lake JUMULISHA kwa 1766.
6: Jibu utakalopata TOA mwaka wako wa kuzaliwa.
Jibu utakalolipata litakuwa Na tarakimu TATU......NAMBA MBILI ZA MWISHO NDIO UMRI WAKO.
ANGALIA NI KWELI? MAAJABU YA MAHESABU!
Kama ni hivyo basi naomba utengeneze wewe ili mtu ajue urefu wake kama ni rahisi kihivyo.
Nilitumiwa hiyo msg jana kwenye group la Whatsapp, sikufuatilia sana, ila kwa uzoefu niligundua trick kwenye hiyo 5 na 50. Hata hivyo ukijaribu kwa mwaka wa mbele yaani 2017,jibu ni shida. Hata negative haiji!
Lakini ukifuata Principle za BODIMAS/MAGAZIJUTO,inaweza ikakupa jibu tofauti na halisi. Hata hivyo, aliyebuni puzzle hii ni mtu anaejua vema Aljebra hasa Linear!
Hivi ukichukua line ya jirani yako na ujifanye ni yako, sijui namba itabadirika na kuleta miaka yangu?nina namba mbili eatel na voda, voda inaishia na 67 eatel 18 zote zimekubali namba mbili za mwisho imekuja 28 na dio umri wangu na pia nimejaribu na mtu ninae mfahamu nae hivyo hivyo. kama ni ujinga nami nimekua mjinga sujui?
sijaua kwa kweli labda tujaribuHivi ukichukua line ya jirani yako na ujifanye ni yako, sijui namba itabadirika na kuleta miaka yangu?