Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Sawa nakubailiana na ww katika hiloNi ngumu lakini ukimwona mtu yuko whatsupp on line, unatuma text inaonyesha mistari miwili ya blue, inamaana ameiona na ameisoma, lakini hajajibu, hapo fikirika kidogo,
unapiga simu inaita mpaka inakatika, siku mbili zinapita hajakwambia sababu ya kutokukupiga baada ya kuona missed call, jifikirie kidogo hapo.
fafanua mkuu vizuri maana kuna ubashite hapo umenipitiaNi heri kujipendekeza unapodhaminiwa kuliko unapodharaulika
SureNi heri kujipendekeza unapodhaminiwa kuliko unapodharaulika
Hua inauma na inachoma kama pas haijalishi huyo uliye jitolea kumsabah ni ndugu,mpenzi au rafikiNi ngumu lakini ukimwona mtu yuko whatsupp on line, unatuma text inaonyesha mistari miwili ya blue, inamaana ameiona na ameisoma, lakini hajajibu, hapo fikirika kidogo,
unapiga simu inaita mpaka inakatika, siku mbili zinapita hajakwambia sababu ya kutokukupiga baada ya kuona missed call, jifikirie kidogo hapo.
fafanua mkuu vizuri maana kuna ubashite hapo umenipitia
eti mimi sielewi cjui nimekula nini walah,
unamaanisha ni heri nipende mtu ambaye hanipendi kuliko kuwa na mtu ninayempenda ila yeye hanipendi?
duuuh mbona vyote ni mtihani kwangu.
ndo nilikuwa naona marue rue duuuuh hii dunia ya kupenda ni shida sana.Zote hamna nafuu ni sawa na kuwa mfungwa gerezani. Huyo asiekupenda lazima atakua na ampendae hivyo usaliti nje nje na siri zako lazima zitakua zinatoka kupitia umpendae
hanma nafuu kabisaaaaaa duuuuhNdio ulikosea mkuu,
Kupenda usipopendwa tabu yake ombea isikukute,
Wewe hujajiuliza kwanini rafiki yako pamoja na tabu anazosema, hajafikiria kunywa sumu? (Aliyependwa), Lakini aliyefikiria kufanya hivyo ni mwanamke (Aliyependa).
FIKRA zangu zinaniambia UKIPENDWA usipopenda UTAONA UNASUMBULIWA Ila UKIPENDA Usipopendwa UTAUMIA.
NB:- Sasa Pima kipi kina unafuu kati ya KUSUMBULIWA na KUUMIZWA.
ndo nilikuwa naona marue rue duuuuh hii dunia ya kupenda ni shida sana.
for me bora nisijue hanipendi ila vitendo si vitaonyesha? najua hivi vitu vipo ila please naomba tu nisijue.
uwiiiii haswaaa na kamoyo kangu kanavyopenda kufanya kazi ya ziada ndo kwanza sitaki kujua.Kuna wengine wanakua wanajua kabisa hapo hapendwi ila basi tu analazimisha mahusiano au ndoa kabisa,mwisho wa siku majuto.
Mambo mengine kama siri bora usiyajue ili maisha yaendelee kuliko kuyajua na maisha yakakwama kwa kukataa tamaa na uoga.
wacha weee mashallah uko goodTeh teh teh teh mapenzi hiyari,Mapenzi hisia, mapenzi makubaliano bwanaee asikwambie mtu
...... Karne kumnga'ang'ania mtu asiyekupenda shida zote za nini,,, km sehemu hujapedwa hujapedwa tu at a ungejiua bila sumu
hahahaha mkuu staki cheka na nimejikuta tu nacheka tena kwa sauti jje'seti mimi sielewi cjui nimekula nini walah,
unamaanisha ni heri nipende mtu ambaye hanipendi kuliko kuwa na mtu ninayempenda ila yeye hanipendi?
duuuh mbona vyote ni mtihani kwangu.