LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,749
- 9,864
we we mzee unamdanganya Makonda au utamsaidia kumpandikizia MIMBA zake.!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naziendeleza zile pongezi zangu kwa rais wetu, Dr. John Pombe Magufuli kwa kuwa ni mtu wa msimamo usioyumbishwa uongo, wivu, kijicho, fitna na majungu kumhusu Makonda na hata sasa ili zuio la kumzuia Makonda asiingie Marekani ni kumshinikiza rais Magufuli amtumbue. Hawa Wamarekani pia nao, watasubiri sana kwa hamu Makonda atumbuliwe, Mhe. rais, endelea kushikilia msimamo wako wa kutopangiwa na kutoyumbishwa ya yoyote.
Paul Makonda endelea kupiga kazi, kama ni kuzuiwa kuingia Marekani, to hell with America, ingekuwa Marekani ni peponi, umezuiwa kuingia peponi hapo ndio labda unge mind, lakini Marekani is just nothing!, nill!, Wamarekani sii lolote, sii chochote, they can just go to hell.
P
Sent using Jamii Forums mobile app