Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

Paulsylvester

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
1,464
3,381
Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,

Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo!

Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya heshima kuhusu kulinda rasilimali na kufanikiwa sana kupunguza kero Kwa wananchi tuna maanisha

Kipimo ni hizi hizi tawala zilizokuwepo na zilizopo!

Staki nirudi nyuma huko kwenye Richimondi, Epa, escrow n.k

Huko nyuma kulinuka wizi nchi nzima, huduma za hovyo kila pahala, viongozi watu waliitwa majina mengi, miongoni mwao ni wazee wa kuchekacheka n.k

Tukija hapa tulipo, bila shaka hakuna hata mmoja asiyepata majeraha makali ya tozo na kodi zisizo na majina, huduma mbovu mahospitalini, ukipeleka wagonjwa unakutana na madaktari walioko chuo wakisoma bado na wengine wakiwa field, utampangaje zamu dakitari anayesoma bado kuhudumia mgonjwa siriaz? Matokeo yake ni wagonjwa kufariki ama kuzidiwa Kwa sababu ya mambo ya kizembe kama hayo

Ukija kwenye suala la nishati ya umeme, Hayati alipondwa Kwa maneno yote kwamba alikuwa mkamuaji tu wa maziwa bila kumlisha ng"ombe ili anenepe na kuendelea kutoa maziwa mengi, tukadhani ni kweli wasemacho, na tulipewa miezi miwili ya ukarabati wa miundombinu yote ya Mitambo ya TaNesco, miezi hiyo ikaisha, kilichofuata, kila mtanzania ni shahidi

Tukirudi kwenye uwekezaji wa uzalishaji wa Umeme JKHP, kulisemwa lugha mbalimbali baada tu ya kuingia wajuvi, tukaamini labda huwenda ni kweli,

Kabla ya wajuvu kuingia, tulikuwa tumepewa na tarehe ya kujazwa maji bwawa hilo, wajuvi walipoingia, tukaambiwa, bwawa hilo halitajazwa ispokuwa kuagizwe kifaa ambacho nchini hakipo, sasa ni karibu mwaka toka kuagizwe kifaa hicho cha kusaidia kujazwa maji bwawa letu na bado mpaka sasa hakuna cha maji kujazwa na sina hakika kama hata hicho kifaa kilishagakuja!

Kiukweli, tunahitaji kuona kila kinachokuwa kimesemwa, kinafanyika na kinaanza kutumika!

JPM, (hayati) alikuwa akisema, tayari kitu kinafanywa na kinanza kutumika Kwa manufaa ya nchi, hakuwa mtu wa porojo,

Ukweli na matendo yake mengi ya kitendaji, yaliufunika uwingi wa udhaifu wake na kuanza kuaminiwa saana na wananchi hasa wale waliokuwa hawapati haki zao kwenye tawala zilizowahi kuwepo

mf, wamama ntilie, wamachinga, wafugaji na wakulima, waliiamini sana serikari yake! Migogoro mingi ya wafugaji na wakulima, migogoro ya aridhi ilidhibitiwa na kusababisha kutamalaki Kwa amani

JPM (hayati) alihakikisha kuwa, Rasilimali za nchi, zinalindwa Kwa nguvu zote na kwamba, ziwanufaishe wananchi na kwamba, nchi yetu inakuwa ni kituo cha mataifa mbalimbali kuja ama kuleta madini yao kuja kuuza na kununua hapa

JPM (hayati) alianzisha masoko ya madini kila eneo lnalochima madini nchini, Sielewi Kwa sasa ikiwa maono haya makubwa yanaendelezwa Kwa kasi ilelie

Tubayo mengi mazuri ya kujifunza Kutoka Kwa kiongozi huyu ambapo Kwa wengi wa watanzania hata sasa bado wanamnena kusema, laiti angelikuwepo?

Tusingeona tozo katikati ya mdoloro wa kiuchumi duniani,

Swali ni... Ikiwa kuna mdorolo wa uchumi duniani,

Je, Wananchi mdororo huu hauwaathiri? Kwa nini waongezewe tozo ili hali dunia inapitia uharibifu wa Uchumi?
 
Je? Wananchi mdorolo huu hauwaathiri? Kwa nini waongezewe tozo ili hali dunia inapitia uharibifu wa Uchumi?
Kumbe Jamii forums bado iko na watu wenye hekima na maono. Akili na Utu.

Huu uzi uwekewe kitufe cha tuzo. ⌛

Naunga mkono hoja.
 
Aisee.
JamiiForums-85016129.jpg
 
Ki ukweli, JPM alikuwa ni Kiongozi wa aina ya pekee sana.
Alikuwa mzalendo wa kweli wa Nchi yake, aliwapenda sana Wananchi wake hasa wale ambao walipuuzwa katka Tawala zilizopita.

Aliumia sana anapoona Watanzania wanapata taabu. Alipoingia tu madarakani, vibaka, Panyaroads, walarushwa, Majangili, watekaji wa magari walipotea ghafla kwa speed ya ajabu.

Kwa sasa wakubwa wanachokifanya ni kujaribu kuharibu Legacy ya JPM.
Mimi nawaambia, hawataweza. JPM alikuwa ni Rais wa aina yake.
Siku zote wa MBILI huwa havai MOJA.
Ebu fikiri, kila mtu huku mtaani anataja jina la JPM. Kwamba angekuwepo, haya yanayotukumba sasa yasingekuwepo(Mfumuko wa bei, Tozo nk.)

Mungu mwenye huruma ailaze pema roho ya Mtumishi wake JPM. Amiiiiiiiina.
 
Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa,
anastahili tuzo ya heshima kwa kugandamiza demokrasia katika nchi yetu.
Anastahili tuzo ya ulinzi wa raslimali kwa kuamrisha wizi wa fedha za raia wake bank.

Anastahili heshima kweli kwa kutuheshimu hasa alipoamua kuua raia wake na kuwazika hovyo na kuwatumbukiza baharini

Anastahili kuheshimiwa na wale aliowapoteza na kuwapiga risasi.

Hiyo tuzo ije niwadai ndugu yangu ambaye katoweshwa! na wale mumiani aliowafuga!
Maandamano yataanzia kwenye kalamu hadi mawe na silaha mbali mbali walete hiyo tuzo!! NIMESEMA!
 
Ki ukweli, JPM alikuwa ni Kiongozi wa aina ya pekee sana.
Alikuwa mzalendo wa kweli wa Nchi yake, aliwapenda sana Wananchi wake hasa wale ambao walipuuzwa katka Tawala zilizopita.

Aliumia sana anapoona Watanzania wanapata taabu. Alipoingia tu madarakani, vibaka, Panyaroads, walarushwa, Majangili, watekaji wa magari walipotea ghafla kwa speed ya ajabu.

Kwa sasa wakubwa wanachokifanya ni kujaribu kuharibu Legacy ya JPM.
Mimi nawaambia, hawataweza. JPM alikuwa ni Rais wa aina yake.
Siku zote wa MBILI huwa havai MOJA.
Ebu fikiri, kila mtu huku mtaani anataja jina la JPM. Kwamba angekuwepo, haya yanayotukumba sasa yasingekuwepo(Mfumuko wa bei, Tozo nk.)

Mungu mwenye huruma ailaze pema roho ya Mtumishi wake JPM. Amiiiiiiiina.
Haswaa!
 
Back
Top Bottom