"The truth... just ahead"Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country-Mwl. Nyerere.
Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country-Mwl. Nyerere.
Afrika kusini Raisi hapigiwi kura na wananchi bali na Chama chake hivyo uchungu wao ni tofauti Sana na Tanzania, kila nchi na siasa zake na tamaduni zake, Hapa kwetu ukifanya hivyo unajenga chuki Kali Sana kwani hatujapitia siasa za ubaguzi kama wao
And what did he do to develop it?Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country-Mwl. Nyerere.
Wa kwetu ni wa kijima, kila mkuu wa kaya akichafua hali ya hewa inatulazimu kupiga makofi!Hao wako ulimwengu tofauti na wetu