Hawa Yemen wameshindikana cheki uharibifu wa hili kombora

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Hili ni shambulizi kubwa zaidi kufanywa na Kombora na kuleta uharibifu mkubwa hivi.

Hili kombora limeleta maafa makubwa sana upande wa Israel inaripotiwa kuna majeruhi wengi sana na vifo bado havijatangazwa

Sasa imagine wangerusha makombora 10 tu yahit target hali ingekuaje?

Hawa Yemen wameshindikana wallah cheki uharibifu ulivyokua mkubwa

View: https://x.com/NewsArticleColl/status/1835201000145104901?t=-d8uF80VAgsGPy3WFPFn_w&s=19

View: https://x.com/IranObserver0/status/1835186201533301166?t=nWxKEpNHdOEO0WpVtIkuag&s=19
 
Halafu hawa wajinga wanasema hakuna maafa.
 
Huko Yemen wanawake na watoto wajiandae kuwa ngao ya hao magaidi na sasa wasubiri mziki wao unakuja na mabikra wajipange huko akhera.
 
Ina maana hilo bomu linatokea Dar kwenda Dodoma chini ya dakika 3.. hii spidi sio ya kawaida..
 
Sio poa hiii vita inawaumbuwa wanaodai wenye akili kutuzidi lkn ajabu mzozo huu unewadhidi akili. Watu wanakufa miundombinu inavunjwa na wao wapo na masuti zao. Awana chakufanya. Jamii ya waafrica ni watu bola kuliko wazungu ila propaganda zao tu.
 
Acha na wao Israel wapate cha moto kupiga wenzio kila siku na yeye kwake acha kuwake moto sasa. Makombora kama hayo yakitua Israel kwa mfululizo utaona wanasema tufanye mapatano, ikiwa hakuna moto kwao there will never be mapatano
 
Irani kaamua kulipiza kisasi kwa njia nyingine, Hypersonic missile imetengenezwa URUSI kwa mara ya kwanza akaigawa hoi teklonojia kwa India, China, North Korea (kwa Kiduku) na Iran hadi kufikia sasa hao waliopewa hiyo tech mzigo upo tayari na cha kuogofya hakuna member wa NATO hata mmoja aliyeweza kutengeneza hata bomba la moshi (exhaust) ya hili kombora.
 
Acha na wao Israel wapate cha moto kupiga wenzio kila siku na yeye kwake acha kuwake moto sasa. Makombora kama hayo yakitua Israel kwa mfululizo utaona wanasema tufanye mapatano, ikiwa hakuna moto kwao there will never be mapatano
Ila wakijibu mashambulizi mtasema wanaroho mbaya wanaua wagonjwa na watoto,nakumbuka hata Hamasi waliianzisha hiyo vita kwa kurusha makombora ndani ya ardhi ya Israel na matokeo yake mpaka sasa watu duniani kote wanailaani Israel.
 
Ugomvi haukuanzia October bali August.
Na ushahidi upo.
Aliyeanza ugomvi ni Israel na Hamas October ikajibu.
Ni kweli Israel vita imemshinda anaua hovyo raia,ameua raia 5 wa Marekani,raia wake wanne ambao walionesha ishara ya msaada,French consulate official.
Haya ni matokeo ya kutofuata rules of engagement.
Pia kumbuka Gaza imebanwa na Israel.
Yemeni sio Gaza bro.
Yemeni wana kila aina za silaha tena nzito za kuifumua Israel.
Na nyingi zinatokea Iran.
Hata hiyo Gaza kama wangeruhusiwa kuwa na jeshi kamili Israel isingesalia.
 
Huko Yemen wanawake na watoto wajiandae kuwa ngao ya hao magaidi na sasa wasubiri mziki wao unakuja na mabikra wajipange huko akhera.
Wewe bikra yako uliipotezaje kwani?

Naona umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao.
 
Ila wakijibu mashambulizi mtasema wanaroho mbaya wanaua wagonjwa na watoto,nakumbuka hata Hamasi waliianzisha hiyo vita kwa kurusha makombora ndani ya ardhi ya Israel na matokeo yake mpaka sasa watu duniani kote wanailaani Israel.
Sasa kwani wewe hupendi kwa Wayahudi waliomtesa Yesu nao kupigwa?
 
Back
Top Bottom