Umbuje heri ya mwaka mpya mgosi...Zumbe atogolweTupo mgosi
Rais wangu ni lowasa
Acha jungulz weweKuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia mbele ya Haki!!!!!??
Basi tukielekea kuumaliza mwaka wa 2015 na kuingia mwaka mpya wa 2016 ni vizuri kila mmoja wetu aka-comment neno "Hai" ili kujua kama bado tupo wote au kuna wale waliotangulia mbele ya Haki.
Mpe taarifa member mwenzio aje hapa aweke Comment.
Mimi nawapa taarifa wafuatao, #Cnjona, #bantulady #mmawia.
Ccm inatekeleza ilani za ukawaKashatangaza baraza lake la mawaziri?
Ccm inatekeleza ilani za ukawa
Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia mbele ya Haki!!!!!??
Basi tukielekea kuumaliza mwaka wa 2015 na kuingia mwaka mpya wa 2016 ni vizuri kila mmoja wetu aka-comment neno "Hai" ili kujua kama bado tupo wote au kuna wale waliotangulia mbele ya Haki.
Mpe taarifa member mwenzio aje hapa aweke Comment.
.
Wv@X-pastor
?????
@flora msoffe.... Sijamuona mwenzakokama Nani hujamuona
he upo?!
Kwa nini mkuu? Tuwekeemo na kapicha basnaona km nyie ni mtu mmoja sijui kwanini.............
Wewe hapokama Nani hujamuona