Hawa ndio watoto wa Donald Trump, Rais mpya wa Marekani

Ndiyo faida ya kuwa na watoto wachache wenye akili! yaani familia nzima ni vichwa
 
Jamaa anafamilia kubwa sana na atawapa tabu sana SS kulinda familia yake na bajeti ya ulinzi ya huyu bwana inaweza kuwa mala mbili au tatu zaid ya watangulizi wake kuanzia Clinton,bush mpaka obama kutokana na ukubwa wa familia yake
 
Du kwa inaelekea nusu ya wamarecani watakuwa wafanya biashara kama nusu yetu tulivyo walopokaji kama baba j
 
Pia baada ya mzee wake kuingia Ikulu atasaidiana na kaka yake Donald Jr. kuendesha biashara za familia katika Trump Organization.
ivanka-trump-11.jpg

Hapo umekosea.

Ivanka hatashirikiana na kaka zake kuendesha biashara za baba yao kwa sababu mume wake [Jared Kushner] ni mwajiriwa wa serikali ya Trump kama mshauri.

Tayari ameshajiuzulu nafasi zake alizokuwa nazo kwenye Trump Organization. Ni suala la kukidhi sheria za miiko kwa watumishi wa serikali ya shirikisho ya Marekani.

Don Jr. na Eric ndo wataendesha hiyo Trump Organization.

"On Tuesday Ivanka Trump revealed that she will resign from her management and operational roles at the Trump Organization and her eponymous fashion brand. The move comes on the heels of news that her husband, Jared Kushner, accepted a job as senior advisor to the president-elect. The couple's steps to distance themselves from their business holdings—Kushner will also stand down as chief executive of real estate giant Kushner Companies and publisher of the Observer—appears to be an attempt to comply with ethics laws."

Chanzo
 
Back
Top Bottom