Hawa nani jamani

Bila kutaja WANAUME WA DSM siku yako haikamiliki.......hao watoto wako Dar sasa hivi wanang'aa huwezi amini kama ndio walikuwa huko kijijini kwenu! Na hawarudi ng'o mtabaki kulialia tu wakija mjini wanawapiga chini!
Na wakienda vijijini kusalimia wanakimbiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom