Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,961
Very trueWatoto wa kishua kuolewa ni rahisi kuliko maskini
Very trueWatoto wa kishua kuolewa ni rahisi kuliko maskini
Ni mtoto kwa namba 1 hadi 5Huyo wa kiume atakuwa na bahati sana, mara shemeji huyu akulipie ada ya chuo, huyu amekununulia gari, huyu amekupa mtaji wa biashara ni full raha.
sawa kabisa, lakini hata manual kwa kuifahamu vizuri MP pamoja na ovulation unaweza pata jinsia unayotaka mkuu,bila hata kwenda labWell for sure, ninafahamu kuwa kuna private clinics wanafanya hivyo, fertizaliation inafanywa lab na wanaangalia yai unalolitaka ndiyo linapandikizwa, rumours has it Victoria Beckham went through this procedure to get her daughter.
kabisa,na kitakachofata ni kuwasaidia wazazi wa hyo mmakonde ili mwendane sawa.Mabadiliko ya mfumo wa uchumi, leo hii wewe wa Kigoma unapata ajira Mtwara na wadada wa ki-Makonde hawatakuacha uwe mpweka.
Maoni yako yanaudhi umma! Nikisema baba yako ni shoga wangu au mama yako ni hawala yangu utakubali kuwa ni maoni yangu, inakubalika? inakubalika kwa vile eti ni maoni yangu?Hayo ni maoni yangu... Kama yamekutachi kuna kona
Ninafikiria tu kwa yale maisha yetu ya Kwamtogole, hapo asubuhi mama vitumbua anapata order ya maandazi 10, chapati 10, vitumbua 10 na vikijia nyumbani vinakatwa katwa ili wote mpate.Huyo dingi noma sana...Watoto 10
Tena wote wamenona hivyo sifa kwao kwa kweliKama ni kweli sifa iende kwa mzazi mana ulezi wa watoto wote hao mpaka kufikia walipo si jambo la mchezo.
Amen.Sisi kwetu tupo 10.
One mother & one father.
Na wote tupo hai.
Jina la bwana lihimidiwe.
Huwa nikiangalia picha ambazo tumepiga wote tukiwa pamoja . Im like wow!
"Amazing glory"
Baada ya kutafuta mtoto wa kiume muda mrefu hatimaye apatikana baada ya kujaribu mara 9 wote wa kike
Ukitia nia Mungu anasaidia
View attachment 500408
Hahahaa! Si mpaka waoaji wenyewe wawepo.
Sipati picha ada zao za shule na vyuo wanavyosomaNinafikiria tu kwa yale maisha yetu ya Kwamtogole, hapo asubuhi mama vitumbua anapata order ya maandazi 10, chapati 10, vitumbua 10 na vikijia nyumbani vinakatwa katwa ili wote mpate.
Hahaha nadhani bajeti ya siku ya msosi ni hatari hata uyo mpishi kazi anayoWamejipanga kwa kufuata seniority
Heshima yako baba na mama wa familia hiyo
Ila uwe na helaaa sio mchezo chai asubuhi ni mikate mitatu ya buku jero@1 pc jumla 4,500TZS
Ninafikiria tu kwa yale maisha yetu ya Kwamtogole, hapo asubuhi mama vitumbua anapata order ya maandazi 10, chapati 10, vitumbua 10 na vikijia nyumbani vinakatwa katwa ili wote mpate.
Mkuu pamoja na hayo kuwakuza si shughuli ndogo, hapo sikukuu nyama ni kama kilo 5, siku za kawaida kilo mbili za nyama lazima zisindkizwe na maharage kwa tembele.Yeah, lakini kwa walipofikia hapo hao wadada wote 8 watakuwa na kwao, kasoro huyo mdada mmoja mdogo na huyo wa kiume watakuwa nyumbani...