Mbona mnageuka sasa?Hawa nao waongo. Mbona kwenye press conference walisema simba wamepokwa point kwa vile hawakulipia rufaa yao?
Kwa hiyo maamuzi yao yametokana na kagera kwaambia kirahisi tu kuwa mchezaji wao hakuwa na kadi tatu? Kama haya ndiyo maamuzi ya kamati ya katiba na sheria. Na kama refa wa kati ripoti ya yake ilionyesha Faki alikuwa na kadi ya njano siku ya mchezo na Lyon basi kwa mujibu wa kanuni za FIFA, maamuzi ya refa kwa kati ni ya mwisho. Hivyo simba watashinda kirahisi hii rufaa FIFA. Ikumbukwe FIFA wanatambua maamuzi ya refa wa kati tu na si yale maelezo ya kagera sugar.
Mbona mnageuka sasa?
Si mlitaka TFF iwaambie kama Fakhi alikuwa na kadi au la?
Sasa taarifa hiyo hapo, Fakhi hakuwa na kadi 3.
Kaburu nae kawa yanga wakati ni makamu mwenyekiti wa simba!Pale TFF hakuna uongozi wa mpira ila ni uongozi wa Yanga tu pale. Hata aibu hana timu yetu ya taifa kuburuza mkia? Nafikiri hata wewe mtoa mada unapaswa ujiite MKIA maana haiwezekani TFF inatufanya wote tuitwe mikia kwa uendeshaji wa ovyo wa soka letu.
Linakuwa kizungumkuti Simba asipopewa point za bure Mkuu!Soka la Tanzania chini ya TFF ya Malinzi ni kizungumkuti.
Vv
sasa MEZANI FC wakalipe dollar 15,000/= ili wacheze KARATA TATUHawa nao waongo. Mbona kwenye press conference walisema simba wamepokwa point kwa vile hawakulipia rufaa yao?
Kwa hiyo maamuzi yao yametokana na kagera kwaambia kirahisi tu kuwa mchezaji wao hakuwa na kadi tatu? Kama haya ndiyo maamuzi ya kamati ya katiba na sheria. Na kama refa wa kati ripoti ya yake ilionyesha Faki alikuwa na kadi ya njano siku ya mchezo na Lyon basi kwa mujibu wa kanuni za FIFA, maamuzi ya refa kwa kati ni ya mwisho. Hivyo simba watashinda kirahisi hii rufaa FIFA. Ikumbukwe FIFA wanatambua maamuzi ya refa wa kati tu na si yale maelezo ya kagera sugar.
Ni kama vile Kamati ya masaa 72 ni simba tupuPale TFF hakuna uongozi wa mpira ila ni uongozi wa Yanga tu pale. Hata aibu hana timu yetu ya taifa kuburuza mkia? Nafikiri hata wewe mtoa mada unapaswa ujiite MKIA maana haiwezekani TFF inatufanya wote tuitwe mikia kwa uendeshaji wa ovyo wa soka letu.