Hatimaye Angela Kairuki ataja muda wa ajira za walimu wa Sayansi

ikifika mwezi wa tatu na mkaona series ya uhakiki haifiki mwisho, nawashauri msipoteze muda tena kusikiliza maneono ya viongozi wa serikali hii na mjitahidi kutafuta kitu cha kufanya cha kukuingizia kipato kuliko kufanywa kama mtoto.
 
Hivi hamjasikia kuwa jamaa bado anaendelea na Zoe's I la kusaka watumishi hewa na vyeti hewa! Yaani haeleweki wakati mteule wake ni hewa!
 
Back
Top Bottom