Hatima ya waliotumbuliwa ni ipi?

kindume

Senior Member
Feb 25, 2017
110
54
Jamani kwa wanaoelewa naomba kuuliza hivi, hawa walio, na wanaoendelea kutumbuliwa hatima yao ikoje? stahiki zao wanalipwaje? nilisikia kwamba wanalipwa nusu mshahara but at the same time kuna watu wamekalia nafasi zao nawanalipwa full mshahara, je? hii pesa JPM anaitoa katika mfuko gan?

Na mbona hawafunguliwi mashtaka? na siku wakifunguliwa mashtaka nabaadhi yao wakishinda kesi fidia zao serikali itawalipa pesa kutoka mfuko upi? Nauliza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…