GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
lowasa !!!!!!Kama nimemuelewa vizuri...huyu mzee bila shaka atakuwa muhanga wa kuminywa kwa wakwepakodi....
Najiuliza, kama nchi imenyooka, ubaya ukowapi tukiinyoosha zaidi kwa kununua ndege?
Upandemwingine anasema wahalifu hawakamatwi, afu dakika chache tena anasema wahalifu wamejaa vituoni..ni aibu sasa viongozi wa upinzani kutetea uhalifu na mafisadi
Leo Lowassa akikamatwa utakuja kulia kuwa anafanyiwa kisasi!! Au sio?? Huyo babu Spunda ni mwizi na mkwepakodi tu....eti leo anasimama kusema hakuna mafisadi??lowasa fisadi swali la msingi mbona hakamatwi
halafu amesema vituoni watu wamejazwa kwa chuki kwamba polisi wanatumia wadhifa wao kulundika watu wala hajasema wahalifu wamejazwa vituoni ................... jipange
Umesikika
akamatwe hata kesho najua ametoka ccm lazma awe fisadi ..Leo Lowassa akikamatwa utakuja kulia kuwa anafanyiwa kisasi!! Au sio?? Huyo babu Spunda ni mwizi na mkwepakodi tu....eti leo anasimama kusema hakuna mafisadi??
Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
We kuna kitu umewahi elewa kwenye maisha yako!?!?Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
shangaa rungwe tangu lini ni cdmkatoa maoni yake yeye kama yeye unaingiza story za CHADEMA.
hivi nyie wana CCM kwanini wote mna akili za kuku??
Mmeambiwa kama lowassa ni fisadi mpelekeni mahakamani otherwise ujanja ujanja una mwisho wake.Kwa hiyo anaisifu CCM kwa mazuri yake ya kujenga nchi? Mbona kama kuna kitu sielewi? Kweli Tanzania hakuna Upinzani na kama huyu naye anatumiwa na chadema kuwasemea basi ni wazi chadema wamechanganyikiwa na hata hawajui wanaokipigania tena, naona sasa Raisi Magufuli ndo amegeuka mpinzani wao binafsi badala ya CCM!
Basi kama hamtaki kukamata msiendelee kumchafua .nyie mal.ofa nini.Leo Lowassa akikamatwa utakuja kulia kuwa anafanyiwa kisasi!! Au sio?? Huyo babu Spunda ni mwizi na mkwepakodi tu....eti leo anasimama kusema hakuna mafisadi??