figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,484
Well said mkuuAkili kubwa zote zipo upinzani. Mawazo haya ni mawazo ambayo kwa mwenye akili Ndogo hawawezi kuafiki. Huwezi kuleta nafuu ya maisha na kuondoa umaskini ka wazalishaji ni wachache, uzalishaji ni wa kutegemea mvua nk. Tafuta eneo la uzalishaji, peleka maji, gawa mashamba kwa watu ambao watazalisha in bulk. Chakula kitakuwa kingi, price ndogo na utaexport the excess. Maskini atakula, atauza nk
Ni ngumu kuwa na fikra hizo mkuu. Bila kuwa mikakati imara na inayotekelezeka ktk kulikomboa tabaka la chini, maendeleo ni ndoto kabisa.Serikali hii haina fikra hizi..
Yenyewe ni kununua mindege tena wala haikuwa imepangiwa bajeti, sijui reli ya treni za umeme ( wakati umeme wa uhakika wa majumbani hakuna), sijui mahakama ya mafisadi na vitu vingine vya kijinga.
Sijaskia hata siku moja serikali ikixungumzia mfumuko wa bei za vyakula. Kwao sio issue. Shame.
Ona mawazo kama haya ya Mzee Rungwe hutayasikia.
Na kuna Wizara inayohusika na Kilimo na nyingine inayohusika na Maji.
Very Shameful indeed.