Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha Kondeboy of which haitowezekana sababu njia zote za kufanikiwa kimuziki Harmonize anazijua. Anaijua wasafi nje ndani. Anajua kila kitu Chao.
Harmonize alichofanya Cha Kwanza ni kutengeneza ukuta Kati yake na wasafi of which kafanikiwa. Kwa Sasa ni ukweli usiopingika kwamba fanbase wa Harmonize hawafungamani na wasafi. He has real fanbase japo bado si wengi Kama wale wa wasafi . Alifanya hivi kwa kurudisha majeshi Kwanza bongo. Akaachana na collaboration na wanigeria Kwanza.
Kwa sasa akitoa nyimbo ana uhakika wa kutrend Tanzania wasafi watake wasitake. Projects ya AFROEAST ni project alifanya Wasafi kwahyo #HIGHSCHOOL ALBUM ndo itakayoonyesha uelekeo wake.
Kumbuka mwaka uliopita CORONA ilitibua mipango yake. Ikabidi atoe nyimbo za kishkaji ili kubuy time. Ikabidi atoe nyimbo za mipasho ili kutengeneza spotlight ya kuongelewa.
I think watu wasichokijua ni kuwa kila collaboration ambayo diamond anaweza fanya africa kwa Sasa harmonize anauwezo nao. Mtamtambua akitoa highschool album.
After hiyo project anaanza Sasa collaboration na international artists ili kupanua wigo wa kondegang. In short harmonize anafanya kitu sahihi kabisa kulingana na soko la muziki la bongo lazima uwe masikioni muda wote kwa watanzania ndo utapaa.
Pia mkumbuke kondegang haina hata mwaka na nusu toka ianze lakini mpaka Sasa ni competitive. Wasafi ina miaka kumi.