Happy birthday @nameless @girl

ibra87

R I P
Jul 22, 2015
5,614
5,347
kwa heshima na upendo wa moyo wangu.. naomba kujitokeza mbele ya jukwaa hili kwa sababu maalum. sababu ambayo imenifanya nihisi nimwenye kupaswa kuifanya. Naomba mnisaidie kumuwish heri ya kuzaliwa Mdogo wenu, Dada Yenu na Shemeji/wifi yenu Nameless girl. Mungu Akubariki na kukupa kila lililojema katika maisha YAKO.

happy birthday binti wa MTOBWA @
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…