Jambo jamaa.,
Wenzenu tumeshindwa hata kushangaa acha kuitafsiri hii familia.
Ni hivi ,
Kama ilivyo kawaida ya huku kwetu ,biashara kubwa ni utalii kiujumla,uwe na vinyago,hoteli,spa ,na chochote kile ambacho kinaweza pata soko kwenye maeneo hayo ambayo sana huwa ni nje ya mji.
Watu kutoka sahemu na makabila tofauti yapo pale na mchanganyiko huu pia unachangia kuundika kwa vitu tofauti pia,wote hao wanatafuta risk!
Sasa basi kuna familia moja hapa ya warangi yaani baba ,mama na watoto wao wanne kutoka Dodoma nao walikuja kutafuta maisha huku...
Kilichofanya niandike haya ni hiki kituko cha huyu baba kuwa ni wa kwanza kuwaharibu watoto wake mwenyewe tena wa jinsia tofauti na huku mkewe anajua ila kanyamaza tu!
Sio siri tena ,iko wazi na mzee anatafuna vitoto kwa kwenda mbele!
Ilianza kusemwa kuwa anamuingilia bintie wa kwanza wa miaka 8, sasa ana miaka 14 ,baadae wa kiume ,mpaka sasa ana vuruga wote na wameshazoea kiasi mpaka ma-beach boy na mateja wanaponea hapo!
Mama yao anachofanya ni kuchapa kila apatapo kesi.Watoto mwanzo walikuwa wakisema baba anawaumiza ,mama yeye ni kukanusha na kukomesha wasiseme uongo huo!
Lakini watu wanaongea yao ,wapo wanaosema ndio njia ya kukuza biashara yao hiyo,wengine mama anamuogopa mume asije kufukuzwa maana jamaa ni katili sana ,wengine wanateta kuwa hao mama na baba ni shirika moja, anajibalaguza tu wengine wanasema mama ana mapenzi sana na mumewe sasa akiwa upande wa watoto atampoteza mume na kila kitu mengi na mengine lukuki....
Au wenzetu kwao hiyo kawaida...?maana watoto wanne tena wa kuzaa ni ngumu jumlisha tayari ushawaharibia maisha yao.....