Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara. Msidanganyike!

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
9,041
31,515
Kuna huyu mwalimu rafiki yangu hapo halmashauri, mwezi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre.

Biashara ina miezi 8 ila ukiangalia stock Iliomo kwasasa ukiondoa madeni huwezi kutoa hata 4m pesa imeshakufa, na mkopo bado mbichi ni wa kulipa kwa miaka mItano imagine........

Mtu atauliza mbona wanawake wa kichaga wanaweza biashara vizuri ila jiulize kwanini wanawake wa kichaga hawako "romantic"?

Pamoja na kuwa na kifua kipana na maziwa makubwa, hawavutii kimapenzi mpaka uwe na hamu kubwa kusimamisha, huwezi kuhudumia wafalme wawili kwa mpigo "you cant serve two masters at a go" ni hivi either biashara hufanikiwa na ndoa kufa au the reverse.

Nyie wanaume msidanganyike kufungulia mke biashara sio sehemu ya mapenzi au kuonyesha kwamba you ur a caring husband, hapana ni sehemu ya kuandaa kaburi lako la umasikini hususani nyie watumishi, a woman's money is not your money".....

Hamna mke mtamu kama yule anaeshinda nyumbani na watoto wake na kukupokea jioni ukitoka kazini kama unabisha jaribu uone.. ......
 
Angalia aka kamualimu karafiki kangu hapo almashauri, mwenzi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre biashara ina miezi 8 ila ukiangalia stock oliomo kwasasa ukiondoa madeni huwezi kutoa hata 4m pesa imesha kufa, na mkopo bado mbichi ni wakulipa kwa miaka motano imagine........

Mtu ataulize mbona wanawake wa kichagga wana weza biashara vizuri ila jiulize kwanini wanawake wa kichagga hawako "romantic"? pamoja nakua na kifua kipana na maziwa makubwa hawavutii kimapenzi mpaka uwe na hamu kubwa kusimamisha, huwezi kuhudumia wafalume wa wili kwa mpigo " you cant serve two masters at ego" ni hivi either biashara hufanikiwa na ndoa kufa au the reverse.

Nyie wanaume msidanganyike kufungulia mke biashara sioa sehemu ya mapenzi au kuonyesha kwamba you ur a caring husband, hapana ni sehemu ya kuanda kaburi lako la umasikini hususani nyie watumishi, a woman's money is not your money".....

Hamna mke mtamu kama yule anae shinda nyumbani na watoto wake na kukupokea jioni ukitoka kazini kama unabisha jaribu uone.. ......
Siku mbili hizi mawe unayorusha ndugu yananikuta utosini itoshe kusema unaniponda kama nyoka ,nihurumie usiniuwe kwa mawazo na presha
 
Mkuu huo ndo ukweli ni lishawahi kua social work am talking out of exprience hi ni hali halisi, watumishi wengi hulipa madeni ambao haya kuwafaidi directly na sio rahisi kunyanyuka tena na kukimbizana na mda apate utajiri, imagine mualimu amekopa iko 35yrs atamaliza deni la CRDB iko 40yrs, mda wa maandaliza wa lala salama ya kustaafu, pili hana wakika kama huyu mke atavumulia hali hiyo ya uchumi lichaa ya kua pesa iliiua mwenyewe........"a wife is a wife not afriend"
 
Biashara ina watu wake. Pia biashara haifundishwi ukubwani

Wanawake wanaoweza kuendesha biashara ni wale waliokuwa wanafanya biashara kwa mitaji yao wenyewe, kabla hawajakutana na mume
Na wengi wa namna hiyo wanao fanikisha biashara ndoa zilisha washida most are singo mazas wengine wamefika meno-pozi age, hapo biashara kwao sio hiari inakua lazima ili waendelee kuishi.
 
Biashara ina watu wake. Pia biashara haifundishwi ukubwani

Wanawake wanaoweza kuendesha biashara ni wale waliokuwa wanafanya biashara kwa mitaji yao wenyewe, kabla hawajakutana na mume
Na wengi wa namna hiyo wanao fanikisha biashara ndoa zilisha washida most are singo mazas wengine wamefika meno-pozi age, biashara sio hiari inakua lazima ili waendelee kuishi.
 
Angalia aka kamualimu karafiki kangu hapo almashauri, mwenzi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre biashara ina miezi 8 ila ukiangalia stock oliomo kwasasa ukiondoa madeni huwezi kutoa hata 4m pesa imesha kufa, na mkopo bado mbichi ni wakulipa kwa miaka motano imagine........

Mtu ataulize mbona wanawake wa kichagga wana weza biashara vizuri ila jiulize kwanini wanawake wa kichagga hawako "romantic"? pamoja nakua na kifua kipana na maziwa makubwa hawavutii kimapenzi mpaka uwe na hamu kubwa kusimamisha, huwezi kuhudumia wafalume wa wili kwa mpigo " you cant serve two masters at ego" ni hivi either biashara hufanikiwa na ndoa kufa au the reverse.

Nyie wanaume msidanganyike kufungulia mke biashara sioa sehemu ya mapenzi au kuonyesha kwamba you ur a caring husband, hapana ni sehemu ya kuanda kaburi lako la umasikini hususani nyie watumishi, a woman's money is not your money".....

Hamna mke mtamu kama yule anae shinda nyumbani na watoto wake na kukupokea jioni ukitoka kazini kama unabisha jaribu uone.. ......
Utakuta Mpenzi au Mke anaomba umuwezeshe umfungulie Biashara au umpatie mtaji, Ukikaa na kujiuliza huyu mke wangu anataka nimuwezeshe ili iweje na kwa faida ya nani baada ya kusema tufungue biashara kwaajili ya familia.
 
Angalia aka kamualimu karafiki kangu hapo almashauri, mwenzi wa pili amekopa 28m kutoka CRDB, amechukua 23m kumfungulia mke wake wa mtoto moja duka la boutique hapo centre biashara ina miezi 8 ila ukiangalia stock oliomo kwasasa ukiondoa madeni huwezi kutoa hata 4m pesa imesha kufa, na mkopo bado mbichi ni wakulipa kwa miaka motano imagine........

Mtu ataulize mbona wanawake wa kichagga wana weza biashara vizuri ila jiulize kwanini wanawake wa kichagga hawako "romantic"? pamoja nakua na kifua kipana na maziwa makubwa hawavutii kimapenzi mpaka uwe na hamu kubwa kusimamisha, huwezi kuhudumia wafalume wa wili kwa mpigo " you cant serve two masters at ego" ni hivi either biashara hufanikiwa na ndoa kufa au the reverse.

Nyie wanaume msidanganyike kufungulia mke biashara sioa sehemu ya mapenzi au kuonyesha kwamba you ur a caring husband, hapana ni sehemu ya kuanda kaburi lako la umasikini hususani nyie watumishi, a woman's money is not your money".....

Hamna mke mtamu kama yule anae shinda nyumbani na watoto wake na kukupokea jioni ukitoka kazini kama unabisha jaribu uone.. ......
Anafunguliwa biashara leo kesho anajiunga na upatu majina kumi. Hapo unategemea nini sasa.
 
Back
Top Bottom