Halima Mdee nipepe

Nani anatongozwa kwa mashairi siku hizi wewe, kama huna hela we chora chini. Ila kwa haya mashairi utangoja sana.
Mwami wao Zitto Kabwe siku hizi hapewi hela na CCM kwa hiyo hata vijana wake hawana hela ndio wanaishia kuishi kwa mashairi namna hii. Haya mashairi mpelekee Mzee Yusuph atungie taarabu, bwana Njano 5
 
Mtoa thread bwege kupita maelezo... don't you see urself very st.upid...? Senseless...!!
 
Nadhani ana haki ya kukushitaki kwa kuingilia uhuru wake na hasa kumtongoza hadharani.Jiandae kuitwa mahakamani, si unamjua lakini?

Nani aliekuambia kumtongoza mtu hadharani, kunanyima uhuru wa mtu mwingine. Au kutongoza hadharani Ni kosa nani, Tendo ndilo haliruhusiwi kufanyia hadharani hata Kama ni mkeo. Kutongoza inamaana unaomba jambo mtakalo fanya mkiwa wawili, kwanza lazima mkubariane hadharani kwanza.
 
Labda ujaribu kwa Wema Sepetunga, halafu Mwalimu gani unatongozea kwenye jamii forums? Tutegemee watoto wetu kuzidi kufeli na hili la bure elimu ndo kabisa.
 
m
Naona Tabia kutongoza Kwa kutumia mashairi ina zidi kupamba moto hapa JF
apenzi ya siku hizi bwana ni kiboko...............
yaani vijana wa kiume kutongoza kwao imekuwa jambo rahisi sana, hawana shida kama wale wa enzi zetu.
Siku hizi hata coca inakutongozeshea...............
ukiona huna maneno wewe jinunulie coca ina maneno ya kutosha kabisa kukutongozea kama vile nichumuu, mkali, mrembo, nakupenda nk.

enzi zetu siye mtu ilibidi ajue mbinu mbali mbali za kushusha verse vinginevyo inakula kwake
 
HALIMA MDEE NIPEPEE.

View attachment 325136

Ewe Halima Mdee, leo nataka kunena,
Simama niendelee, tuweze kumalizana,
Waonaje usogee, Njano nipate nong'ona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee

Naomba yakuelee, haya ninayo yanena,
Nyonda sinipotezee, usiku hata mchana.
Wewe ndio wa pekee, mwenzio niliye kuona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Sitaki nikuchezee, lengo tupate oana,
Tupate wana tulee, kwa uwezo wa Rabana,
Mizigo wanipokee, ufurahi wao nina
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee

Alifu kisha ni tee, mambo yataka somana,
Nambie nitegemee, nipate poa kijana,
Hadi lini ningojee, subira yauma sana
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Mapenzi ni ukengee, chunga tusije uana,
Pamoya tuyatetee, kwa waja wenye fitina
Wote tufike uzee, kweli sioti mtana,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
0622845394
Hahaaaaaa hii nayo stail mpya kumbe kuna kutongoza kwa mashairi . Nahis ujumbe umemfikia
 
Matola brodah nimecheka sana
hivi ujue siku hizi hadi coca cola zinawasaidia kutongoza?
hujaona matangazo yake??
yaani ile manhood hatuioni tena mtu akijituma kutuma ngenga kwa kidosho
Ajabu yenyewe badala ya thread yake kuipost jukwaa LA love connect yeye analeta mapenzi siasani. Huyu ni discolifide on the sport.
 
The gud thing ni kuwa Jukwaa la Siasa lime accomodate Mpaka wehu.
This is too Personal and has nothing to do na Siasa

Invisible
 
HALIMA MDEE NIPEPEE.

View attachment 325136

Ewe Halima Mdee, leo nataka kunena,
Simama niendelee, tuweze kumalizana,
Waonaje usogee, Njano nipate nong'ona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee

Naomba yakuelee, haya ninayo yanena,
Nyonda sinipotezee, usiku hata mchana.
Wewe ndio wa pekee, mwenzio niliye kuona,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Sitaki nikuchezee, lengo tupate oana,
Tupate wana tulee, kwa uwezo wa Rabana,
Mizigo wanipokee, ufurahi wao nina
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee

Alifu kisha ni tee, mambo yataka somana,
Nambie nitegemee, nipate poa kijana,
Hadi lini ningojee, subira yauma sana
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Mapenzi ni ukengee, chunga tusije uana,
Pamoya tuyatetee, kwa waja wenye fitina
Wote tufike uzee, kweli sioti mtana,
Yanifukuta waona, sijiwezi nipepee.

Dotto Rangimoto Chamchua(Njano5)
0622845394
mkuu kuimbishana sio mbaya, lakini mbona umepotea jukwaa.Hii kitu yako ungeidumbukiza jukwa la mahusiano wala tusingeshangaa,kiukweli hii ni "ECTOPIC POST".
 
Nani aliekuambia kumtongoza mtu hadharani, kunanyima uhuru wa mtu mwingine. Au kutongoza hadharani Ni kosa nani, Tendo ndilo haliruhusiwi kufanyia hadharani hata Kama ni mkeo. Kutongoza inamaana unaomba jambo mtakalo fanya mkiwa wawili, kwanza lazima mkubariane hadharani kwanza.
Haya,Kila la kheri!.
 
Nimezama, sawa niite chz, lkn ndio hivyo nampenda Halima, tena sana.

No, what you did is very wrong... kama ww ni mwanaume, mtu mzima unajielewa haswa... hupaswi kufanya huu upuuzi...

Hata yeye HALIMA ndio atachukia kabisa kama ulikuwa na chances za kumpata ndio humpati kabisa akikujua... Wanawake wenye heshima zao, wanapenda sana privacy... Huyo Halima sio Celeb wa ngono, so anahitaji usiri sana ktk private issues zake... Kutongoza pia kuhajitaji uelewa mzuri wa akili... jinsi ya kumtongoza Halima Mdee ni tofauti sana na jinsi ya kumtongoza Wema au Wolper...

So ww kama mwanaume hadi hapa ushamkosa... sbb HUJUI UNAYEMTOMGOZA ni mtu wa namna gani, so huwezi mpata... as well unamuudhi zaidi akiona hii post... sbb sio type ya mwanamke wa kumtokea ulivyofanya...

Tafuta kungwi akufunde... uko mdogo sana upstairs ktk mahusiano...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom