KERO Hali ya vyoo Olduvai Gorge inatisha, wageni wajisaidia nje

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wakati mama anapambana kupata wageni million 5 Tanapa wameshindwa kuweka maji tu CHOONI hapa Olduvai. What an embarrassing situation.
View attachment 3128388
Huyo Mkurugenzi na waziri wake wote wapigwe chini hakuna kazi wanayofanya
Kama kitu kidogo kabisa CHOO imewashinda wanawezaje kusimamia wizara?
Na hili nalo atasukumiwa lawama Mbowe na wenzake
 
Kwa style hii tunawezaje kushindana na wakenya? Hii nchi ina laana kabisaa!!!
Hiyo afcon itakuaje Kwa mitindo hii ya kijinga?
 
Watanzania kama ilivo utaratibu wetu wa chapati mbili maharage. Tuna utaratibu mwingine wa choo cha public lazima kiwe kichafu
 
Back
Top Bottom