Habari wanajamvi,
Kwakweli maisha ni kupanda na kushuka, usishangane tajiri aliyeko jirani mwako kaporomoka kiuchumi, hali ya unga wa sembe nchini imepanda ghafla kwa takribani siku 3 tu , kutoka 38,000 elf hadi 48,000/= elf, hatari sana. Kwa ambao wapo mikoani hasa mikoa ya mbeya, iringa, rukwa, ruvuma, na kadhalika watujuze bei ya mahindi na upatikanaji Wake ili tujipange vizuri.
Tafadhali usimkashifu mtu.
By
Young
Dimaa.